ungerudiwa ila tatizo ni kwa CUF SASA IMEKUWA CCM, wakirudia itakuwa ni chama kimoja CUF=CCM
mkuu si wampe huyo number mbili wa CUF u makamu MBUNGE tu maana kuna uhusiano mzuri kati ya CCM na CUF...Ya nn kurudia ilihali ni kile kile chama kasoro jina tu? Ndo maana hakuna chombo kinachoweza sema lolote hapo CCM == CUF differ in names only...
samahan wana JF mimi sio mwanasheria na hata mwanasiasa....
(nikikosea nikosoeni nitafurahi, nina diploma ya ualimu na digrii ya uhsibu na fedha)
Kuna majimbo kadhaa ambapo hadi leo hakuna muelekeo wa kisiasa baada ya NEC kuchakachua kura wazwaz wakapewa CCM!
HADI LEO hali ni mbaya kwani waliotangazwa kushinda hawawezi hata kukanyaga majimboni mwao.
Jimbo la TANDAHIMBA, mkoani Mtwara, wananchi wamechukia vibaya na nimetoka jana huko. Nimepata tetes kuwa kama serikali haitaweza kutengua wako tayari kumuua mshindi ili uchaguzi urudiwe!
Mbaya zaidi kilichowachukiza ni kitendo cha police kumvamia mgombea aliyekashinda wa CUF na kumvunja mbavu, mkono na mguu! Hali yake ni mbaya na alikuwa Muhimbili karuhusiwa juzi.
Vyombo vya Usalama vilipga marufuku vyombo vya habari kuandika kuhusu kukithri mauaji, kuchomwa nyumba moto, magari kuharibiwa n.k.
MY TAKE!
Nauliza kwani NEC haiwezi kubatilisha uchaguzi wa jimbo la uchaguzi na kupigwa tena...?
Nawasilisha.
Du hivi huko hakuna taasisi za haki za binadam
zitoke wapi kaka! HAKUNA ASASI ZA HAKI ZA BINADAMU HUKU! NImezunguka wilaya mzima...
CCM wametawala miaka ming kwa kuwafumba macho wananchi. Hali ya umaskni inatsha, hakuna maji safi, hakna shule za kutosha,etc