Majimbo haya, NEC iitishe uchaguz mpya haraka!

twa121

Member
Sep 21, 2010
34
0
samahan wana JF mimi sio mwanasheria na hata mwanasiasa....
(nikikosea nikosoeni nitafurahi, nina diploma ya ualimu na digrii ya uhsibu na fedha)

Kuna majimbo kadhaa ambapo hadi leo hakuna muelekeo wa kisiasa baada ya NEC kuchakachua kura wazwaz wakapewa CCM!

HADI LEO hali ni mbaya kwani waliotangazwa kushinda hawawezi hata kukanyaga majimboni mwao.

Jimbo la TANDAHIMBA, mkoani Mtwara, wananchi wamechukia vibaya na nimetoka jana huko. Nimepata tetes kuwa kama serikali haitaweza kutengua wako tayari kumuua mshindi ili uchaguzi urudiwe!

Mbaya zaidi kilichowachukiza ni kitendo cha police kumvamia mgombea aliyekashinda wa CUF na kumvunja mbavu, mkono na mguu! Hali yake ni mbaya na alikuwa Muhimbili karuhusiwa juzi.

Vyombo vya Usalama vilipga marufuku vyombo vya habari kuandika kuhusu kukithri mauaji, kuchomwa nyumba moto, magari kuharibiwa n.k.

MY TAKE!
Nauliza kwani NEC haiwezi kubatilisha uchaguzi wa jimbo la uchaguzi na kupigwa tena...?

Nawasilisha.
 
Sheria ipo wazi hapo asiyekubali matokeo akimbilie mahakamani..........huwezi kupima uhalali wa matokeo kwa hasira za kadamnasi ila kwa ushahidi utakaotolewa mahakamani....kwa bahati njema kwenye chaguzi za ubunge mahakama zetu zina rekodi nzuri ya kutenda haki lakini kwenye chaguzi ya Uraisi hatuna uzoefu wowote na ndiyo maana wazo la kuunda tume huru kuchunguza matokeo ya Uraisi lina haiba nzuri na mvuto wa kipekee
 
kwajili kuna muafaka kati ya sisimu na cuf hakuna haja ya uchaguzi kurudiwa ni kutumia kodi za wavujajasho pasipo na sababu.wasubiri 2015 tuwang'oe wote.
 
ungerudiwa ila tatizo ni kwa CUF SASA IMEKUWA CCM, wakirudia itakuwa ni chama kimoja CUF=CCM

mkuu si wampe huyo number mbili wa CUF u makamu MBUNGE tu maana kuna uhusiano mzuri kati ya CCM na CUF...Ya nn kurudia ilihali ni kile kile chama kasoro jina tu? Ndo maana hakuna chombo kinachoweza sema lolote hapo CCM == CUF differ in names only...
 
kwa kweli mzee wewe ni genious!!CUF= CCM kwa hiyo wapeane hicho atakachopata wagawane. Kitu kizuri mtu hula na nduguye. Sasa kwa kuwa hawa ni ndugu wale pamoja.
 
CUF ni chama dada na CCM. Kwa hiyo hakutakuwepo tofauti. Ila nasikitika kwamba wananchi wanapigwa na polisi
 
samahan wana JF mimi sio mwanasheria na hata mwanasiasa....
(nikikosea nikosoeni nitafurahi, nina diploma ya ualimu na digrii ya uhsibu na fedha)

Kuna majimbo kadhaa ambapo hadi leo hakuna muelekeo wa kisiasa baada ya NEC kuchakachua kura wazwaz wakapewa CCM!

HADI LEO hali ni mbaya kwani waliotangazwa kushinda hawawezi hata kukanyaga majimboni mwao.

Jimbo la TANDAHIMBA, mkoani Mtwara, wananchi wamechukia vibaya na nimetoka jana huko. Nimepata tetes kuwa kama serikali haitaweza kutengua wako tayari kumuua mshindi ili uchaguzi urudiwe!

Mbaya zaidi kilichowachukiza ni kitendo cha police kumvamia mgombea aliyekashinda wa CUF na kumvunja mbavu, mkono na mguu! Hali yake ni mbaya na alikuwa Muhimbili karuhusiwa juzi.

Vyombo vya Usalama vilipga marufuku vyombo vya habari kuandika kuhusu kukithri mauaji, kuchomwa nyumba moto, magari kuharibiwa n.k.

MY TAKE!
Nauliza kwani NEC haiwezi kubatilisha uchaguzi wa jimbo la uchaguzi na kupigwa tena...?

Nawasilisha.

Jimbo la Segerea.

Makongolo Mahanga kuna maeneo ambayo hatakiwi kuonekana na hawezi kuthubutu kuitisha mkutano wa hadhara na wananchi.
 
Tandahimba inazalisha korosho kwa wingi duniani (yaweza kuwa na. moja). Wakati wananchi wanalazimishwa kuuza kwa stakabadhi ghalani kwa shs. 700, nasikia kwenye mnada inauzwa kwa Tshs. 2000 plus. Wananchi walichachamaa DC akaita FFU toka Mtwara mjini, Mkurugenzi akatangaza matokeo then zikapigwa risasi nne juu, wananchi wanatawanyika. Mgombea wa CCM B akapigwa hadi kuvunjwa mkono.... wanamsubiri huyo aliyetangazwa wamkate shingo then urudiwe...
 
Du hivi huko hakuna taasisi za haki za binadam

zitoke wapi kaka! HAKUNA ASASI ZA HAKI ZA BINADAMU HUKU! NImezunguka wilaya mzima...

CCM wametawala miaka ming kwa kuwafumba macho wananchi. Hali ya umaskni inatsha, hakuna maji safi, hakna shule za kutosha,etc
 
Mbona hujaongezea ile ya Mimba za utotoni??? Shule kwa mtoto wa kike kanda hiyo ni darasa la nne!
 
samahan wana JF mimi sio mwanasheria na hata mwanasiasa....
(nikikosea nikosoeni nitafurahi, nina diploma ya ualimu na digrii ya uhsibu na fedha)

Kuna majimbo kadhaa ambapo hadi leo hakuna muelekeo wa kisiasa baada ya NEC kuchakachua kura wazwaz wakapewa CCM!

HADI LEO hali ni mbaya kwani waliotangazwa kushinda hawawezi hata kukanyaga majimboni mwao.

Jimbo la TANDAHIMBA, mkoani Mtwara, wananchi wamechukia vibaya na nimetoka jana huko. Nimepata tetes kuwa kama serikali haitaweza kutengua wako tayari kumuua mshindi ili uchaguzi urudiwe!

Mbaya zaidi kilichowachukiza ni kitendo cha police kumvamia mgombea aliyekashinda wa CUF na kumvunja mbavu, mkono na mguu! Hali yake ni mbaya na alikuwa Muhimbili karuhusiwa juzi.

Vyombo vya Usalama vilipga marufuku vyombo vya habari kuandika kuhusu kukithri mauaji, kuchomwa nyumba moto, magari kuharibiwa n.k.

MY TAKE!
Nauliza kwani NEC haiwezi kubatilisha uchaguzi wa jimbo la uchaguzi na kupigwa tena...?

Nawasilisha.

mhh wakubwa wa humu watasema unaleta maneno ya uchochezi..kuna mtu kafungiwa humu kwa kosa kam hilo ...ngoja nikae kimya mie mtoto wa kihehe..nimgaya sida bhee
 
KARAGWE wamesema hawataki kumuona mbunge aliyetangazwa na nec.siku akioneka amazake amazao
 
Mbeye vijijini, Hawataki kumuona mbuge! analindwa na police kila akitembea.
 
Nafikiri kuna zaidi ya Vitu vya ajabu vimetokea kuliko vilivyoripotiwa na vyombo vya Habari. Lakini katika kumbukumbu zangu za kimaisha ukweli uabaki kuwa ule ule siku nenda siku rudi. Nimuhimu uchunguzi ufanyike hata kama siku zitakuwa zimeenda sana na ukweli kujulikana. Ni fedhea kubwa kuwa madarakani kwa mabavu kama iliyovyotokea kwa ndugu zetu wa huko Tandahimba.
Kwa wale walio record Picha kwa Mobile phone zao waweza tuwekea tupate angalahu pa kuanzia.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom