Majimbo gani yametekeleza miradi ya maendeleo kwa mwaka huu wa fedha wa 2016/2017?

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,695
149,921
Naomba anaeweza kututajia miradi ya maendeleo iliyotekelezwa katika jimbo la uchaguzi analoishi atutajie mradi husika hapa.

Tueleze vile vile kama huo mradi ni mradi mpya ni ile iliyoachwa na Kikwete.

Karibuni.
 
Labda ya mkoa wa Dodoma maana wao CCM ndio roho ndio mwili.
 
nashangaa ni kigezo gani kilitumika kumchagua waziri wa fedha.....

je ni weredi?....
je ni uswahiba?.....
au undugu?.....
 
Chartor sisi atunashida kabisa maendeleo had mlangon


IMG_8270.JPG
 
Jimbo la tulia akson maana hakuna tena bunge live, wabunge wa upinzani wanakamatwa kila kukicha kama wamachinga na viongozi wa bunge wapo kimya
 
nashangaa ni kigezo gani kilitumika kumchagua waziri wa fedha.....

je ni weredi?....
je ni uswahiba?.....
au undugu?.....
Tatizo ni mkuu wa kaya....hataki kufata bajeti yeye anaamrisha Pesa zitoke kwa matakwa yake
 
Back
Top Bottom