Mungu ninaemwamini hata tuacha watanzania kutawaliwa na watu wabovu, watachakachua mwisho watakuta zilizoharibika ni za kwao, Eeh Mungu usituache sisi wanao tumeteseka sana miaka yote , umeturudi kwa maovu yetu sasa tunahitaji uponyaji wako...........