Nikukumbushe
JF-Expert Member
- Jun 4, 2013
- 2,602
- 409
11. Lowasa
Acha kujifurahisha.Lete uchambuzi wa Kina ili tuweze kutathmini Ukweli wa Kauli yako.
wewe gamba,ccm wanaposema cdM itakufa kabla 2015 wana uchmbuzi gani?
Mwakyembe,lema,zungu,mnyika,mtemvu na cheyo.
kibajaji..magembe....olesendeka...loliondo
Jimbo la Mwigulu
Jimbo la Komba
Wenzako ni Watabiri wa Nyota.Kama na wewe una Elimu hiyo nakuunga Mkono.
Wenzako ni Watabiri wa Nyota.Kama na wewe una Elimu hiyo nakuunga Mkono.
Kwa Lukuvi napinga kabisa lazima Arudi bungeni msijifariji na maneno ya Chiku. Chiku hata akigombea udiwani kule hapiti