Baada ya uchaguzi utakuja tu lugha nyingine kwamba mmeibiwa,hua mna maneno ya kujifariji na hayasaidiiWakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Nanyamba yule jamaa anashinda ila kwa majimbo haya huku Mtwara CCM wajitahidi kweli kuiba kura.Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Majimbo hayo yote 80%,yameshatepeta.Tunasubiri kuvuna 0ct kwa kishindo, maana hakuna mwananchi atakaye kubali kuweka gunzi katika ya betri.Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Wewe umesikia wapi? Mkiguswa dodoma mjini ndio hamtoaminiMajimbo hayo yote 80%,yameshatepeta.Tunasubiri kuvuna 0ct kwa kishindo, maana hakuna mwananchi atakaye kubali kuweka gunzi katika ya betri.
Ms komba 50/50Mtoa mada acha uboya, dada wa taifa pale muheza umemuacha wapi?[emoji23][emoji23]
Subiri show utabiri hapa sio mahali pakeWakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Nashauri mgombea wa CCM ajitoe kwenye Uchaguzi sababu hatashinda, Matokeo yake NEC itambeba hatua itakayozua mtafaruku katika Taifa.Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
CCM haichomoki mwaka huu.Huu mwaka ni wa Ccm, save this comment
Chama cha binamungu huko nako tia majiSijaona najimbo ya kagera. Hebu fanya kurudia research yako vizur.
Hahaha Kwahiyo unasema lissu ni raiis[emoji1][emoji1]
yaani wewe jamaa ni zerobrainkabisa. Hhii picha ndio imekuw karata yenu. Inasambaa kila uzi hapa jf. Ukiiangalia kwa umakini waliovaa nguo zenye alama za chadema ni watatu tu.
Hahaaaaa mkuu TUNZA kumbukumbu WATANZANIA wa sasa si wale wa enzi za ujima
Kwa tathmini hii umejidhalilisha, Tanga nani wakumpiku ummy Mwalimu!?, Tanga hakuna upinzani kabisa hao washindani.Wakuu napenda kutuma salamu kwa wakuu
Kwa tathmini iliyofanyika mpaka sasa, yafuatayo ni majimbo baadhi ambayo CCM kifo cha mende kama uchaguzi ungefanyika leo:
1. NYAMAGANA - Hili Jimbo mbunge huwa ni ngumu kurudi awamu ya pili, mfano ni Steven Mtabakazi, Lau Masha na Ezekia Dibogo Wenje taarifa wanazo.
2. TABORA MJINI ni kama nyamagana, Mwakasaka nakupa salamu
3. HAI
4. KARATU
5 ARUSHA MJINI
6 UKEREWE
7. MAGU ( VUGUVUGU HAWAMTAKI MGOMBEA WA KAMATI KUU)
8 SINGIDA MJINI ( HATAKIWI MWL MUSSA
9 MBEYA MJINI
10 TUNDUMA
11. UBUNGO
12. KAWE
13. HANANG
14. SINGIDA KASKAZINI (NYALANDU ATAMPIGA YULE RAMADHANI IGHONDO YULE WA DR ULIMBOKA)
15. MOSHI MJINI
16. KIGOMA MJINI
17. TUNDURU
18 KILWA MAJIMBO YOTE
19. BUNDA
20. TARIME VIJIJINI
21. MUSOMA MJINI
22. ROMBO
23. LINDI MJINI
24. MASASI
25. IRINGA MJINI
26. NANYAMBA
27. TANGA MJINI
28. SIHA
Kwani kwenye mikutano uwaoni ? haohao wanaokuja kwenye mikutano ya Tundu Lissu ndio wako hapa JF, kama utaona idadi inatofautina nijulishe.Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.
Mama D kumbuka miaka mitano yote hii watu walikuwa hawaongelei siasa za upinzani mitaani wala kwenye vyombo vya habari ambavyo platforms zao ziko wazi kwa hofu iliyokuwa imewajaa watanzania kwa matukio yaliyokuwa yakitokea.Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.