Pawa chilonda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 375
- 438
KABISAA WAMEPELEKA MSIMBITIOngeza Rorya
Asikudanganye mtu mkuu huez ziba kwa jirani kwako panaunguaHayo ndio majimbo kipawambele cha CCM
Mwaka huu Chadema mtaongea kila lugha
Hai kwenye Nini mkuu Ole sabaya anajisumbua Mbowe katunzwa mioyoni mwa wana HaiTupe updates ya kilichojiri Hai tafadhali!
Mwaka wa CCM kuanguka mark my wordsHuu mwaka ni wa Ccm, save this comment
Mkuu Jimbo la Hai na Moshi mjini Imani za watu zenyewe zinajulikana unaweza kusomba watu kwenye MALORI ila huwezi somba imani zaoUnayo yasema ni maono yako, lakini lazima iwekwe jitahada ya kutosha Kilimanjaro inaondoka. Tusijilazimishe kukataa ukweli, iwekezwe nguvu zaidi bila hivyo Kilimanjaro yote imeondoka upinzani.
Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi? Nawashauri watoke huku JF wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi.Huu mwaka ni wa CCM, save this comment
Sikieni MATAGA asisombe watu ili tupate Tathmini ya kweli maana anatuchanganya nasikia anasafiri na babasi 70 MALORI 120 hivi Ni kweli mkuu au mauongo uongo V8 60Huwa najiuliza, hivi watu wanaotegemea Tundu kuwa rais wanaishi mitaa hiihii ya Tanzania kama mimi??
Nawashauri watoke huku jf wakapate hali halisi kuhusu ushindi John Pombe Magufuli toka kwa wanachi
Ndula ndio kitu gani umemaanisha?Kwahiyo Chadema inashika ndula
Waache waende natokeo yao mfukoni! Hawajishtukii walibana miaka mitano halafu hamasa ni ile ile mshauri wa MEKo kilaza km DABSijaona tarime mjini kwa matiko
Kyela
Pemba yotee
Kawee
Kiufupi majimbo 80+ na viti maalum
Jiwe ata akirudi bungeni atakuwa mnyonge saana
Wewe bado uko kwenye KUSIKIASIKIA? Na ndio maana mnafelishwa na habari za udaku hizo.Sikieni MATAGA asisombe watu ili tupate Tathmini ya kweli maana anatuchanganya nasikia anasafiri na babasi 70 MALORI 120 hivi Ni kweli mkuu au mauongo uongo V8 60