Natumai mpo mnaendelea na ujenzi wa Taifa. Umeme imekuwa ni tishio hasa pale inapofikia muda wa kupika. Usihofu suluhisho limepatikana,
Majiko ya kisasa kabisa yanayotumia tekinolojia ya
Induction sasa yameingia Tanzania na yanatumia
umeme wa 10,000/= kwa mwezi kwa walio katika malipo ya
Tarrif IV yaan kama um]nalipa umeme wa 10,000/= kwa mwezi. majiko haya yanapatikana Musoma kwa gharama ya Tsh. 150,000/= kwa jiko la plate moja. kama upo mbali na musoma basi usihofu, nitakutumia jiko hili endapo upo katika mkoa ambao kuna gari la moja kwa moja kutoka musoma, mfano mikoa kama. Mwanza, Simiyu, Tabora, Singida, dodoma, Morogoro, dar es salaam, Geita, Kigoma, Kagera, Shinyanga, Arusha, Moshi, Manyara. Mikoa hii nimekuwa nikituma majiko mara kwa mara. Napatikana kwa namba 0782183441.
Karibu sana