Majibu yangu kwa watumwa wa mabeberu

Konzo Ikweta

JF-Expert Member
Oct 3, 2013
735
1,464
Na. Robert Heriel.

Kutokana na Post yangu niliyoitoa juzi isemayo FUKUZA MAREKANI NCHINI. Nilipata matokeo kwa asilimia mia moja niliyoyatarajia.

Wapo watu wamenifuata inbox, wapo walionipigia simu, wapo walionitext WhatsApp. Wengi wao walionyesha mihemko yao hasi yenye athari za utumwa. Hawa walinitukana na kunitolea maneno makali. Wengine walinitukana na kunikejeli. Hata hivyo ninawapongeza kwa kutoa mitazamo na maoni yenu.

Leo nitaka niwajibu wale wote walioonekana kutokukubaliana na mimi kwenye andiko langu la kwanza. Watu wote mnaofuatilia maandiko yangu mliohumu Jamii Forum, Facebook na makundi ya WhatsApp.

Kwanza wale wanaodhani umri wangu mdogo ndio kigezo cha wao kuniona sijui taifa la Marekani lilipotoka, lilipo na linapoelekea mtakuwa mnakosea kwa sehemu kubwa sana. Kama najua kwa sehemu kubwa historia ya dunia sembuse nchi moja ya Marekani ambayo imepata nguvu miaka ya 1900. Msilo lijua ni kuwa yalikuwepo mataifa makubwa zaidi kuliko hilo taifa la Marekani mlionalo hivi leo. Lakini sio lengo la mada hii.

Mtumwa akishazoea utumwa kwake suala la uhuru ni tatizo. Hataki tena kuwa huru kutokana na mazoea mabaya ya utumwa. Yeye huona uhuru ni gharama sana. Yeye kwake ni bora utumwa kuliko Uhuru. kwake utumwa ni nafuu kuliko uhuru.

Watanzania wengi wetu tayari tunamawazo yakitumwa. Tumeishi chini ya utumwa wa kifikra, kiuchumi na kijamii na wakati mwingine kisiasa. Mtumwa hujiona duni siku zote mbele ya Bwana wale. Mtumwa ni kama Mbwa tuu. Yeye mpaka apigiwe mlunzi ndio huchezesha mkia wake. Yaani akili yake.

Wapo watu wameniambia kuwa Wa marekani na washirika wake tunawategemea kwa mambo mengi. Tunawategemea katika kuendesha miradi yetu, Huduma za Kiafya, miundombinu, Elimu, na teknolojia miongoni mwa mambo mengine.

Wameniambia kuwa hata Simu, mitandao ninayoitumia ni yakwao. Ni kweli ni yakwao. Lakini nataka kuwahakikishia kuwa nchi hii tunavijana wengi wenye akili zinazoweza kufanya mambo makubwa zaidi. Wapo wanaouwezo wakutengeza simu, Magari, ndege n.k..

Kwenye hii nchi nimezunguka zunguka kidogo. Nimeona vijana wa kitanzania wenye uwezo wa kuvumbua na kubuni mambo yatakaolisaidia taifa hili. Kama nawe umetembea unaweza kuungana nami. Lakini kama wewe sio mtu wa kuzunguka zunguka unaweza ukanibishia.

Vijana hawa wanachohitaji ni nafasi ya kuonyesha mambo yao. Kuonyesha akili zao ili zisaidie Watanzania. Na hawawezi pata nafasi kama Wamarekani na washirika wake wakiendelea kututawala. Ili Vijana wetu wapewe nafasi sharti Wakoloni waondolewe.

Na hatuwezi kuondoa wakoloni weupe kwa kuwatumia viongozi wenye fikra za kitumwa. Kwa kuwatumia viongozi wanaowaamini Wamarekani zaidi ya vijana wetu.

Moja ya majibu ambayo ningeyatoa pale ambapo ningeulizwa ni kwa nini Mpaka Sasa nchi ya Tanzania ni masikini japokuwa imepata uhuru zaidi ya miaka 50 iliyopita. Ningejibu kuwa ni kwa sababu hatupo nje ya mzunguko wa Wakoloni.

Bado tunakundi kubwa la watu wenye kasumba ya kuona Wazungu ni bora kuliko Waafrika. Hao ndio waliomkwamisha Mwalimu Nyerere, na sasa watamkwamisha Mwalimu Magufuli.

Hata tungechajua Upinzani leo hii. Nchi hii haiwezi kuendelea ikiwa hatutaondoa kasumba ya kitumwa miongoni mwetu.

Ili tuwe huru tunapaswa tusiombe uhuru wetu kwa mtawala aliyetufanya tuwe watumwa. Hatatupa uhuru wa kweli. Atatudanganya.

Hatupaswi kuwa ndani ya mzunguko wa Mtawala aliyetufanya watumwa. Lazima tuwe nje ya Mzunguko wake au wao. Hapa tutajikomboa.

Kujikomboa kuna gharama sana lakini hakuwezi kuwa na gharama inayozidi gharama ya utumwa. Utumwa ni gharama zaidi. Watu hawalijui hili.

Kuna watu kwa fikra zao finyu za kitumwa hufikiri endapo tutataka kujitegemea basi tutakumbwa na matatizo makubwa. Ni kweli yapo matatatizo ya kujitegemea lakini hayawezi kuzidi uzito wa matatizo ya kuwa watumwa.

Hatutapata tabu sana kama tuipatayo sasa hivi tukiwa na dhamira ya dhati kwa kushirikiana na kuw Kitu kimoja.

Tukiwa na kiongozi mwenye ujasiru na ujasiri hakika pambano hili ndani ya miaka kumi na tano mpaka ishirini tutakuwa tumeshinda.

Adui wa nje siku zote hana nguvu kama adui wa ndani. Hawa watu wanaoipigia chapuo Nchi za marekani ndio wanaoturudisha nyuma siku zote. Hawa ndio wakuogopa kuliko Marekani. Kama ningepewa nafasi ya kushughulikia jambo hili nisingehangaika na adui wa nje bali hawa maadui wa ndani.

Hao ndio watu wanaolifanya taifa hili lisiende mbele kwa kushirikiana ba adui wa nje.

Nchi zote zilizoendelea na zile zinazoendelea mathalani China, India, Korea ya Kaskazini, Iran. Hizi nchi ni miongoni mwa nchi zinazokua kwa kasi japokuwa zinawekewa vikwazo na Wamarekani na vibaraka wake.

Nchi hizi zinaendelea kwa sababu moja tuu, Zimeamua kuendelea. Ili uendelee lazima upambane na anayekunyonya. Iwe ni kwa njia ya wazi au yakificho. Kwa njia ya amani au ya vita. Lakini ni lazima upambane na Anayekunyonya.

Pia huwezi pambana na Adui yako ikiwa ndani ya nchi yako hampo Pamoja. Hili ndilo linakwamisha Waafrika wengi. Wapo wasaliti ambao wanaishi Tanzania au Afrika. Wamezaliwa Afrika. Wake zao ni waafrika. Watoto wao ni Waafrika lakini wanawaamini zaidi Wazungu kuliko Waafrika.

Marekani hana nguvu ikiwa tutaamua kushikana. Tutawaondoa maadui waliondani ya nchi yetu. Hawa tukifanikiwa kuwafuta kabisa. Nina uhakika marekani hana ubavu wa kufanya lolote katika taifa hili.

Wapo wanaosema tutakuwa kama Zimbabwe. Ndio ni heri tuwe kama Zimbabwe tukiwa tunajiamulia mambo yetu sisi wenyewe. Tukiwa tunajivunia Teknolojia ya vijana wetu. Tukiwa tunajivunia Miundombinu ya watu wetu wenyewe. Kuliko kuwa hivi tulivyo ilhali hatuna uhuru.

Wapo wanaosema tukiwafukuza Marekani sijui tutakufa kwa UKIMWI kutokana na kuwa ARV tunapewa kama Msaada.

Ndio tutakufa lakini hatutakufa wote. Matabibu na wataalamu wa madawa na miti shamba watahangaika kuhakikisha tunapata suluhu la magonjwa yanayotuzunguka sio tuu UKIMWI.

Kufa tutakufa lakini hatutakufa wote. Watakaobaki wataendeleza taifa hili.

Watu hawaogopi kufa wakiwa watumwa wanaogopa kufa wakiwa huru. Hiyo ndio hatari ya kuwa mtumwa. Utumwa kwao ni heri kuliko Uhuru.

Jambo hili linanikumbusha kipindi kile Waisrael wakitoka Misri kwenda Kanaani. Wapo waliokuwa wanalalamika sana. Wapo waliosema ni heri tungebaki Utumwani kuliko kufia huku jangwani. Kuliko kufa kwa kiu na njaa huku jangwani. Hayo ndio mawazo ya kitumwa.

Kwao waliona ni bora wangebaki utumwani wakifa wajengewe makaburi ya kitumwa kuliko kufia jangwani wakiwa huru bila makaburi.

Historia ya Biblia inatuambia. Mungu aliwafyeka wote kile kizazi cha kitumwa hakikukanyaga Kanaani isipokuwa Joshua na Kalebu.

Hata taifa hili la Tanzania. Ili tuendelee tunaowajibu wa kuwafyeka wale watu wenye mitazamo ya kitumwa. Wale waonao ni heri kuwa watumwa kuliko kuwa huru.

Hawa ndio huwa rahisi kuungana na adui na kusaliti vijana wa taifa hili.

Hawa ni watu wakuwafyeka kwa namna yoyote ile. Ili vita hii iwe nyepesi na uelekeo wa ushindi kwa kizazi chetu kijacho.

Kama hatutawafyeka hawa watu. Tutapiga miaka mingine 50 tukiwa pale pale. Tukiwa hakuna tulichofanya.

Yaani mwanaume mzima anaamini kabisa taifa letu lenye watu milioni zaidi ya 60 ati hakuna anayejua kutengeneza simu, gari ndege sijui silaha. Huyo mwanaume ni mpuuzi na asiyevumilika.

Huyo mwanaume amelidharau taifa hili. Amedharau vijana wake. Amedharau kina mama waliowazaa vijana wa taifa hili. Ameona matumbo yao hayawezi kuzaa watoto wenye akili za kubuni Simu, Mitandao ya kijamii na vikorokoro vingine. Watu wenye dharau kwa taifa hili hawavumiliki na nilazima tueakabili kabla hatujamkabili adui wa nje.

Huwezi dharau taifa hili alafu uchekewe. Yaani watu wote hawa. Milioni 60 asiwepo mtu ajuaye kutengeneza dawa za magonjwa sugu. Hizo ni dharau na kebehi ambazo hatutazivumilia. Na tutawajibu kwa nguvu zote.

Niwasihi tuu kwa vile mmeamua kudharau taifa letu ambalo ni lenu pia. Tutakapowajibu kwa nguvu zote kulingana na dharau zenu msije toa lawama. Maana huwezi dharau taifa na kizazi chetu alafu tukakuchekea.

Ninyi ndio mkipewa nafasi za uongozi mnatusaliti na kuwaibia Watanzania. Ninyi ndio mkipewa nafazi hamuwapi nafasi vijana wa taifa hili kuendesha miradi mnawapa wazungu.

Ninyi ndio hamuwapi Wafanyabuashara wenye pesa maeneo mazuri ya kuwekeza lakini mnawapa wawekezaji wa nje. Hizo ndizo dharau zilizolifikisha taifa hili hapa.

Ili mechi hii tushinde tunahitaji mambo kadhaa muhimu. Yote yapo kwenye utekelezaji.

Robert Heriel
Taikon wa Fasihi.
0693322300
 
kumbuka kuwa maendeleo ya tanzania hayataletwa kwa kufukuza taifa jingine,mataifa yote yanategemeana,jambo la msingii ni kushirikiana katika maendeleo kwa kuangalia ni maeneo gani yana matatizo na kiyaweka mezani kuyatatua
 
!
!
Siku nyingine fupisha. Unaandika weeeee hadi habari inapoteza maana
 
Yani Taifa kuwapa alert raia wake kuhusu masuala ya kiusalama,wewe umekuja na mkeka mrefuuuuu.
 
Uzalendo wako Ni mkubwa kiasi anayeweza kukuelewa ni mwenye kiwango hicho hicho cha kizalendo au mwendawazimu.

YES WENDAWAZIMU
Aliwahi kusema Thomas Sankara, ili kuleta maendeleo chanya unahitaji kuwa mwendawazimu.
 
Eti fukuza mabeberu wkt juzi yule jamaa waliyesema ametolewa jalalani ameenda huko kwa mabeberu kueleza jinsi gani tunajenga vyoo kwny kila shule(kwny mkutano mkuu wa UN) na akapata nafasi ya kupiga picha na kuu la mabeberu akacheeeeka mwenyeweee.
 
Ahsante sana kiongozi,watumwa wa kifikra wanatakiwa wafyekelewe mbali bila chembe ya huruma.
Nalog off
 
Watu wanataka kwenda zero ground wakapige selfie wewe unasema tuwafukuze Wamarekani..mawazo gongana
 
Back
Top Bottom