Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 18,307
- 33,925
Kama imepigwa si ndiyo ushahidi utolewe. Mana kuna tofauti kati ya hela kupigwa na kutumika kwa matumizi mengine!!Hela ilikuwa inakusanywa kwa ajili ya uchaguzi mkuu. Leo hela haipo kabla hata ya uchaguzi mkuu. Hela imepigwa tuache upofu.