Majibu yaliyotolewa leo na CHADEMA, ni ushahidi tosha kuwa hela zimepigwa

Poleni makamanda Mana majibu ya leo huenda ndio sababu ya makamanda kukaa kimia na kuto sambaza yalio ongelewa kwenye kikao

Chadema na mwenyekit friman mbowe walitakiwa waje na majibu ya tuhuma za ubadhilifu wa fedha na Sio kusema kwamba wanao sema mbowe kala hela walete ushaid hii inamaanisha sawa nimechukua Ila je Una ushaid?

Ingekua pesa haija chukuliwa lazima tungepata majibu na maelezo marefu kutoka chadema Ila kuzijibu hoja nzito kias kile kwa majibu myepes Wala haiitaj akili ya mtu mzima kuelewa hata mtoto ndogo Apo anajua what's happening

Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ndio inaitwa, "Ukiona manyoya,.............."!
 
Chadema imeyataka yenyewe na Wala wasilaum mtu kua anakiua chama Kwan chama kinajiua chenyewe huwezi kua kiongozi ambae kila mtu kwako akawa mamluki kila mtu kwako akiondoka useme kanunuliwa na Sio mapungufu ya chama watu Zaid ya 60 wote hawawez kuondoka kwenye chama kwa sababu yako alafu wao ndio wakawa tatizo wewe ukawa msaf

Chadema kila siku inazid kujizika kichwa Kama mbun anavyo fanya alafu mwil unabaki nje
Chadema ndio mmekua wa kwanza kuvunja katiba ya serekal mpaka ya chama alafu mnalia kua katiba ya nchi Sio inabid ibadilishwe mmesha zoea kuzichezea katiba Kama mnavyo chezea katiba yenu

Sent using Jamii Forums mobile app
Si anasema hivyo kwasababu anawajua vijana alio nao na akili zao zilivyo.
 
Hapa ndio changamoto ilipo

Serikali huwezi linganisha na upinzani hata siku moja. Ndio maana upinzani huwa wakidai CCM ni mafisadi wanarejea kashfa ambazo waliomba zichunguzwe na ikafahamika CCM ni wezi.

Sasa serikali ina access zote inaweza toa order TAKUKURU wafanye uchunguzi, CAG achunguze ama hta DPP afungue kesi ya uhujumu uchumi.

Sasa ikifika stage serikali (Waitara ni naibu waziri) inataka upinzani ndio ulete ushahidi ila wao hawaleti lazima tutilie shaka.

Kwahyo burden of proof ipo kwa watoa taarifa maana wana means za kuthibitisha.

CCM inapaswa iweke watu wenye uelewa mpana humu mtandaoni ila kwa hoja hzi mnajidhalilisha tu. Penginepo ukute ww hta ni mwenyekiti wa UVCCM mkoa!!

Dah

Siamini ni wewe Mkuu zitto junior umetoa hoja hizo!!! Kwa nini nawe umeingia kwenye mchezo wa pata potea au funika kombe mwanaharamu apite? Du, kweli usilolijua ni kama usiku wa giza!

CCM inahusikaje na tuhuma za uongozi ndani ya CHADEMA wakati zimetolewa na viongozi wao? Wewe mwenyewe umekumbushia kwamba CHADEMA, kwenye mikutano yake ya hadhara, ilikuwa inadai ufisadi ndani ya Serikali ya CCM, hadi kutaja "list of shame", je, waliwahi kutoa ushahidi badala yake waliowatuhumu wakawapa nafasi za juu za kugombea na wrnyr uongozi wa chama?

Maadai yako Sasa serikali ina access zote inaweza toa order TAKUKURU wafanye uchunguzi, CAG achunguze ama hta DPP afungue kesi ya uhujumu uchumi., hayana mshiko kwa kuwa, ukiacha matumizi ya fedha ya ruzuku, nyingine km michango ya wabunge kikatiba, ni jukumu la wabunge wenyewe kuhoji matumizi yake . Na kwa kuwa tayari kumetolewa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za ruzuku, bila shaka vyombo husika vimeanza kushughukia. Chondechonde msije na malalamiko kuwa Mbowe anaonewa tuhuma zikidhibitishwa nakuchukuliwa hatua za kisheria.

CCM, kama chama makini, kiliunda Tume kuchunguza ubadhirifu na ufisadi ndani ya Chama, ikachukua hatua kadri ya Katiba yake. Kamwe haikuhusisha wala kulaumu vyama vingine.

Hivyo basi, kudhihirisha utawala bora, tunagemea kila chama cha siasa, chenyewe, kitathmini uadilifu wa viongozi wake, ili kikipewa ridhaa ya kuongoza nchi, kiwe chama cha kuaminika. Tofauti ya hilo ni kama kujipaka matope.

Nasisitiza, tuhuma zimetolewa na viongozi wa CHADEMA, dhidi ya M/Kiti wao, ni wajibu wa wanachama kumlazimisha, siyo kumwomba, azitoloe maelezo badala ya kuhamishia madai kwa CCM.

Nami narejea hoja yako CHADEMA, na siyo CCM, inayopaswa iweke watu wenye uelewa mpana humu mtandaoni ila kwa hoja zenu mnajidhalilisha tu. Lakini, CHADEMA ina watu humu JF ambao wakati wote hujibu hoja nzito mithili ya vijana wa kjjiweni kwa lugha chafu, utoto na ujinga. Wapo watu wa CHADEMA humu JF, na mitandao mingine ya kijamii, kama iivyo kwa viongozi wao, ambao huzua uzushi na uwongo pasipo kuwa na aibu yoyote. Iwapo nia ni kuifitinisha Serikali na wananchi, jukwaa sahihi ni wakati wa kampeni, na wawe na ushahidi usio na mashaka.

Narudia tena kutoa tahadhari, wasipo msafisha Mbowe tuhuma hizo, na akamua CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu, CCM itatumia tuhuma hizo kuwasambaratisha. Ila nina mashaka kama ataruhusu kushiriki wakati fedha ya kugharamia mchakato wa uchaguzi (kampeni na usimamizi wakati wa kupiga kura) zimefujwa, kwa mujibu wa tuhuma zilizotolewa na wabunge wake. Kwa sababu hiyo, na tuhuma alizo shushiwa, atatoa amri ya kususia, ilivyo kawaida yake, kwa kisingizio cha kutokuwepo Tume Huru ya Uchaguzi.

NAWASILISHA.
 
Akili matope ndio hizi Sasa Kama mnajua hamuwez kuringanishwa na CCM kelele za kujimwambafai za Nini? Kwenye wiz mnajishusha na kukubali kua hamko sawa na CCM Ila mkianza porojo zenu hua mnajiona nyie ma mwamba wakat misukule tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Wapi nimetaja CCM ipo juu ya CHADEMA naomba unionyeshe?.

Kma tunakosa umakini hta wa kusoma itakua kuchambua vitabu vya hesabu za CHADEMA?

Anyway naomba ujibu swali langu, unapotoa shutuma burden of proof ipo kwa nani?
 
Huu ni ushahidi maana ni oral evidence na wanaowezathibitisha wapo.
wewe "Hearsay" unaziita "Oral evidence"? ili uwe ni ushahidi ni lazima utolewe chini ya kiapo. Sasa Waitara maelezo yake aliyatoa chini ya kiapo?

"Oral Evidence" ni aina ya ushahidi hasa ule unaotolewa na watu wenye ulemavu fulani mahakamani ili Hakimu ausikie yeye mwenyewe kutokana na mtoa ushahidi kuwa na Ulemavu unaozuia ushahidi wake kutolewa nje ya mahakama. Ushahidi huo hutolewa papo hapo mahakamani na mahakama huufanyia tathimini kama ulivyowasilishwa.
 
Siamini ni wewe Mkuu zitto junior umetoa hoja hizo!!! Kwa nini nawe umeingia kwenye mchezo wa pata potea au funika kombe mwanaharamu apite? Du, kweli usilolijua ni kama usiku wa giza!

CCM inahusikaje na tuhuma za uongozi ndani ya CHADEMA wakati zimetolewa na viongozi wao? Wewe mwenyewe umekumbushia kwamba CHADEMA, kwenye mikutano yake ya hadhara, ilikuwa inadai ufisadi ndani ya Serikali ya CCM, hadi kutaja "list of shame", je, waliwahi kutoa ushahidi badala yake waliowatuhumu wakawapa nafasi za juu za kugombea na wrnyr uongozi wa chama?

Maadai yako Sasa serikali ina access zote inaweza toa order TAKUKURU wafanye uchunguzi, CAG achunguze ama hta DPP afungue kesi ya uhujumu uchumi., hayana mshiko kwa kuwa, ukiacha matumizi ya fedha ya ruzuku, nyingine km michango ya wabunge kikatiba, ni jukumu la wabunge wenyewe kuhoji matumizi yake . Na kwa kuwa tayari kumetolewa tuhuma za matumizi mabaya ya fedha za ruzuku, bila shaka vyombo husika vimeanza kushughukia. Chondechonde msije na malalamiko kuwa Mbowe anaonewa tuhuma zikidhibitishwa nakuchukuliwa hatua za kisheria.

CCM, kama chama makini, kiliunda Tume kuchunguza ubadhirifu na ufisadi ndani ya Chama, ikachukua hatua kadri ya Katiba yake. Kamwe haikuhusisha wala kulaumu vyama vingine.

Hivyo basi, kudhihirisha utawala bora, tunagemea kila chama cha siasa, chenyewe, kitathmini uadilifu wa viongozi wake, ili kikipewa ridhaa ya kuongoza nchi, kiwe chama cha kuaminika. Tofauti ya hilo ni kama kujipaka matope.

Nasisitiza, tuhuma zimetolewa na viongozi wa CHADEMA, dhidi ya M/Kiti wao, ni wajibu wa wanachama kumlazimisha, siyo kumwomba, azitoloe maelezo badala ya kuhamishia madai kwa CCM.

Nami narejea hoja yako CHADEMA, na siyo CCM, inayopaswa iweke watu wenye uelewa mpana humu mtandaoni ila kwa hoja zenu mnajidhalilisha tu. Lakini, CHADEMA ina watu humu JF ambao wakati wote hujibu hoja nzito mithili ya vijana wa kjjiweni kwa lugha chafu, utoto na ujinga. Wapo watu wa CHADEMA humu JF, na mitandao mingine ya kijamii, kama iivyo kwa viongozi wao, ambao huzua uzushi na uwongo pasipo kuwa na aibu yoyote. Iwapo nia ni kuifitinisha Serikali na wananchi, jukwaa sahihi ni wakati wa kampeni, na wawe na ushahidi usio na mashaka.

Narudia tena kutoa tahadhari, wasipo msafisha Mbowe tuhuma hizo, na akamua CHADEMA kushiriki Uchaguzi Mkuu, CCM itatumia tuhuma hizo kuwasambaratisha. Ila nina mashaka kama ataruhusu kushiriki wakati fedha ya kugharamia mchakato wa uchaguzi (kampeni na usimamizi wakati wa kupiga kura) zimefujwa, kwa mujibu wa tuhuma zilizotolewa na wabunge wake. Kwa sababu hiyo, na tuhuma alizo shushiwa, atatoa amri ya kususia, ilivyo kawaida yake, kwa kisingizio cha kutokuwepo Tume Huru ya Uchaguzi.

NAWASILISHA.
Mkuu nayemuongelea hapa ni waitara huyo Lijualikali hana analojua so ni kumuonea tu kumdai ushahidi. Nasema tuhuma za serikali kupitia Waitara zilipaswa kuja na ushahidi wa nyaraka sababu serikali ina uwezo wa ku order uchunguzi wa TAKUKURU,FIU,CAG n.k sasa kma waziri mzima anasema ushahidi ni "kamuulize Gwajima" unataia tufanyeje.

2. Wapinzani wanapotoa shutuma huwa wanaomba serikali ichunguze ili sasa ushahidi dhahiri upatikane kuanzia Buzwagi,Dowans mpka ESCROW ambpo kote huko walinusa ufisadi ila hawakuwa na ushahidi ndio maana wakaomba Tume ziundwe. Sasa kwanini Waitara ashindwe kuorder uchunguzi?

3. Unasema Mbowe akikutwa na hatia tusije sema kaonewa. Sasa mkuu kama alitajwa kwenye madawa ya kulevya,shamba likavurugwa, Billcanas ikabomolewa, alinyimwa dhamana akakaa ndani miezi 6, achilia mbali aliwekwa ndani kesi ya Akwilina. Na zote hizo sio madai ya msingi ndio sembuse kesi ya kuiba zaidi ya Billion 8? CCM hii hii ikae kimya? Are we serious?

4. Mkuu naamini wewe una jitambua kuliko CCM wenzako humu JF. Kisheria burden of proof ipo kwa mtoa shutuma. Na kma ushahidi hana angetoa rai iundwe kamati ichunguze ili ukweli ufahamike sio mtu anaamka tu asubuhi anadai Mbowe kaiba 700m then unategemea tuamini tu? Ikiwa hivyo tutachafuana sana.

5. Nimeeleza hapa Mbowe hawezi toa counter evidence wakati evidence yenyewe haipo. Yaani kila mwezi 50m analipwa Mbowe eti ipo kwenye vitabu vya CHADEMA afu wakati huo huo CAG kahakiki madeni na mali na katoa hati safi ila hakuona fixed 50M ya kila mwezi inayolipwa bila nyaraka?????

6. Hizo kashfa Mbowe kapewa toka uchaguzi 2010, kiliitwa cha wachagga cjui cha wakristo, cha kikanda n.k ila bado kimekuwa chama cha kwanza kufika 6 million votes mark na wabunge 70+ na halmashauri 20+ . kwahiyo zishaonekana ni propaganda tu kitambo na wananchi wamezipuuza rasmi.
 
wewe "Hearsay" unaziita "Oral evidence"? ili uwe ni ushahidi ni lazima utolewe chini ya kiapo. Sasa Waitara maelezo yake aliyatoa chini ya kiapo?

"Oral Evidence" ni aina ya ushahidi hasa ule unaotolewa na watu wenye ulemavu fulani mahakamani ili Hakimu ausikie yeye mwenyewe kutokana na mtoa ushahidi kuwa na Ulemavu unaozuia ushahidi wake kutolewa nje ya mahakama. Usahidi huo hutolewa papo hapo mahakamani na mahakama huufanyia tathimini kama ulivyowasilishwa.
Waitara ameonekana kwenye video akiongea ukweli wa mambo anayoyafahamu. Mambo ambayo ameyashuhudia kwa hiyo ni ushahidi tosha kabisa. Tena ni direct evidence maana wakati madudu hayo yakifanyika alishuhudia.
 
Waitara ameonekana kwenye video akiongea ukweli wa mambo anayoyafahamu.
Kweli zake nani kazithibitisha? Kama ana kweli basi aende kwa DPP apeleke hizo kweli ili ziwe ushahidi mahakamani ambako anaweza kuhojiwa chini ya kiapo. Kinyume cha hapo ni Propaganda za kishamba!!
 
Kweli zake nani kazithibitisha? Kama ana kweli basi aende kwa DPP apeleke hizo kweli ili ziwe ushahidi mahakamani ambako anaweza kuhojiwa chini ya kiapo. Kinyume cha hapo ni Propaganda za kishamba!!
Akihitajiwa ataenda kuzitoa mahakamani kwa kula kiapo. Lakini zina ukweli kabisa maana sio mtu ambae akili zimemruka aongee uongo.
 
Lijualikali amesema mlikwepa kodi kwa kununua gari kupitia mbunge je hilo mnakubali? Na kama sivyo kwa nini mlinunua kwa jina la mbunge wakati hizo ni pesa za chama? Je mlitaka kuliiba hilo gari?
Hayo maswali.matatu yanataka majibu.
 
Akihitajiwa ataenda kuzitoa mahakamani kwa kula kiapo. Lakini zina ukweli kabisa maana sio mtu ambae akili zimemruka aongee uongo.
Yaani tayari umeshakuwa daktari wa Magonjwa ya akili na kujua kwamba Waitara Akili hazijamruka? Mtu anayetuhumiwa kwa kunywa pombe kupindukia ndiye unamwekea dhamana kwenye ubora wa Afya yake ya Akili??
 
Kwani kufahamu mtu kama ni punguani mpaka uwe daktari? Kunywa pombe kupindukia ulishamuona amevua nguo akilewa? Maisha ya mtu personal usiyaingize kwenye tuhuma za ubadhilifu.
 
Back
Top Bottom