Majibu yaliyotolewa leo na CHADEMA, ni ushahidi tosha kuwa hela zimepigwa

mzalendo iq1

JF-Expert Member
Mar 10, 2020
1,258
1,541
Poleni makamanda Mana majibu ya leo huenda ndio sababu ya makamanda kukaa kimia na kuto sambaza yalio ongelewa kwenye kikao

Chadema na mwenyekit friman mbowe walitakiwa waje na majibu ya tuhuma za ubadhilifu wa fedha na Sio kusema kwamba wanao sema mbowe kala hela walete ushaid hii inamaanisha sawa nimechukua Ila je Una ushaid?

Ingekua pesa haija chukuliwa lazima tungepata majibu na maelezo marefu kutoka chadema Ila kuzijibu hoja nzito kias kile kwa majibu myepes Wala haiitaj akili ya mtu mzima kuelewa hata mtoto ndogo Apo anajua what's happening


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwan account hazija tajwa au Lin nyie mmetoa account za mafisad wa CCM? Au ushaid kua wamepiga pesa au na wao hua mna wazingishia
majibu siyo ushahidi wa wizi bali viambatanisho!! Mnaosemwa zimepigwa si angalau mtaje hata Akaunti moja iliyotolewa hela na nani aliyeiidhinisha!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjibu mpumbavu kama ustahilivyo upumbavu wake,
asije akajiona kuwa mwenye hekima zaidi
 
Nyie lumumba ni akili ndogo sana, hata kuandika Freeman hujui, unaandika Friman!

Halafu nani ahangaike kujibu pumba zako!

Hebu edit upuuzi wako.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nimeona wamefanya vizuri ambavyo hawajawajibu...wametumia msemo asiekuepo na lake alipo, watu walishatoka chamani Sasa unawajibu wa nini, ukiwajibu kesho watakuja kusema ulikuwa unachukua condom bure za msaada unasema ni mapulizo umenunua kwa ajili ya sherehe za chama watataka nalo uwajibu...... iwe kweli au si kweli waliotoka kwa sababu za kufarakana hutakiwi kuwajibu lolote

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hahahahaha kwaio walio Baki wa wamejibiwa
Mi nimeona wamefanya vizuri ambavyo hawajawajibu...wametumia msemo asiekuepo na lake alipo, watu walishatoka chamani Sasa unawajibu wa nini, ukiwajibu kesho watakuja kusema ulikuwa unachukua condom bure za msaada unasema ni mapulizo umenunua kwa ajili ya sherehe za chama watataka nalo uwajibu...... iwe kweli au si kweli waliotoka kwa sababu za kufarakana hutakiwi kuwajibu lolote

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tutaaminije maneno ya lijualikali(Mchumiatumbo) anayejilizaliza bila hata ushahidii? CHADEMA inashughulika na mambo ya msingi na hakuna muda wa kubishana na watu wanaotafuta huruma ya mamlaka ya uteuzi
 
Waitara? Ni yule aliyekuwa mpishi wa chai wa Emmanuel Nchimbi wakati akiwa Mwenyekiti wa UVCCM?

Lijualikali amesema mlikwepa kodi kwa kununua gari kupitia mbunge je hilo mnakubali? Na kama sivyo kwa nini mlinunua kwa jina la mbunge wakati hizo ni pesa za chama? Je mlitaka kuliiba hilo gari?
Hayo maswali.matatu yanataka majibu.
 
Back
Top Bottom