mkuu kwani kumualika mtu awe mwanachama ni makosa? suala akubali kutangaza mali zake na madeni basi. na akubaliane na katiba ya kizalendo kuilinda , unakalibishwa maana hata wazambi mbele ya Mungu wana nafasi ya kutubu iweje kati yetu wanadamu?Aunganishe nguvu na Mwigulu, mara Lowassa na bado anataka UKAWA tena ? aamue moja anataka kufanya kazi na nani , si juzi tuu kamwalika LOWASA kwenye saccos yake ?
mkuu hapa jukwaani sio pahara pa kupiga porojo, mambo haya ni vema ukawasiliana na mhalili wa TANZANIA DAIMA kesho itakuwa front page.Watanzania hatuna chuki binafsi na Zito bali tuna chuki kubwa kwa yale aliyotufanyia. Mengi yamesemwa juu yake lakini hajawahi kuyajibu kwa vielelezo. Hajawahi kueleza kwa ukamilifu hela aliyokuwa akiipokea toka CCM (kwa kupitia maofisa wa TISS) ilikuwa ya nini? Hajawaeleza Watanzania ukaribu wake mkubwa na mawasiliano yake na maofisa wa juu wa TISS yamekuwa yanahusu nini hasa. Mawasiliano na maofisa wa TISS yalioneshwa kwa vilelezo, na hasa yalikuwa wakati wa kipindi cha kampeni kuelekea uchaguzi.
Leo anapotaka kushirikiana na UKAWA, Watanzania watakuwa na uhakika gani kuwa nia yake kubwa siyo kutaka kujua mipango na mbinu za UKAWA kwa manufaa ya wale ambao amekuwa akiwatumikia siku zote, CCM?
mkuu kwani kumualika mtu awe mwanachama ni makosa? suala akubali kutangaza mali zake na madeni basi. na akubaliane na katiba ya kizalendo kuilinda , unakalibishwa maana hata wazambi mbele ya Mungu wana nafasi ya kutubu iweje kati yetu wanadamu?
Ngoja waje Bavicha na virob vyao,ndo mida yao hii subiri tu uone,Tena usiombee wanywe Gongo we subiri tu
Aisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!
Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...
Aisee Zitto ana akili nyingi zingekuwa zinagawiwa ninge muomba ampimie kilo moja Mnyika na Mbowe wagawane!
Kijana yuko makini na ni mzalendo wa kweli...
unaweza kuniambia tofauti ya kosa la LOWASSA(Richmond) na kosa la PINDA(ESCROW) kama umenielewa utajua kwa nini mkulima alisalimika, na kuanzia hapo utakuwa umepevuka hutamuita tena EL fisadi.Kama kualika fisadi kwenye chama sio makosa , basi hicho chama ni kukaa mbali nacho.......unaalika mtu ambaye hata mafisadi wenyewe hawamtaki ?