Majibu ya utata

Daah kumbe nauko kunamgongano eeh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilitoa damu mara moja tu mwaka jana pale damu salama kisa mama yangu alikua anafanyiwa operation wakaniambia nirudi baada ya wiki mbili... Nani arudi na nani anataka kufa kwa mawazo, nilimwambia yule dada hayo majibu yakitoka hata asihangaike nayo ayachome moto tu maana siyahitaji... Mimi ukimwi nilipima miaka sita iliyopita tena kwa mbiiiiinde sababu wife alikua mjamzito wakanifosi tupime wote nilipojishaua kumpeleka clinic hadi nikajuta kwanini nimejipendekeza kwenda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una mkosi gani hadi huo utata utokeege kwako tu? Mimi nimepima zaidi ya Mara mia na sijawahi ona huo utata. Nadhani kwako kuna tatizo mzee baba. Nakushauri kapime kipimo cha [ESR TEST FOR HIV] wakikukosa YA MUNGU.


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kwan ESR ni kwaajili ya HIV??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…