Haematology
Member
- Jan 7, 2019
- 18
- 9
Kwenye hilo la HIV nyendo zako zikoje?Habarin ndugu, naombeni ushauri jaman mimi mwezi uliopita nilichangia damu kwa hiari katika shule moja Leo nimeletewa majibu kama ifuatavyo
HIV-POSITIVE
VDRL- NEGATIVE
HBV -GREY ZONE
HCV -NEGATIVE
Nikijiangalia sina dalili zozote za hayo magonjwa.Nikamwomba mtoa majibu turudie kupima cha ajabu majibu yote yakaja negative sasa had sasa nimechanganyikiwabsijui hata niyaamini majibu yapi maana naskiaga kuwa damu salama huwa wanatumia mashine ambazo ni advanced kuliko vipimo vya hospital(rapid test).
Sent using Jamii Forums mobile app
Sijawahi kuwa na shaka na afya yangu hata kidgo Haya majibu tuu ndiiio ymenichanganyaTulia Mkuu, Hauna maradhi fanya issue zako, Maisha anatoa Mungu, unaweza ukawa HIV positive ukaishi Maisha marefu kuliko watu wengine. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
Acha kabisa tunatishana tuu sujui ndio wanataka tutumie dawa zaoHizi hospital zetu na vipimo vyao
Nilipima hospital zifuatazo nikaambiwa nina vidonda vya tumbo,
Marangu hospital (kitemboni )
Mawenz hospital
KCMC pia 2011 nilipima waliniambia hivo
k's hospital Mbeya ,
Hospital ya Dodoma (mkapa ) nilipima mwaka ule wa 2013
Kuna hospital fulani siikumbuk ndogo ndogo tu ya shiyanga nilipelekwa , iko maeneo ya soko la ngokolo nilipima nikaambiwa ninazo
Mwaka jana nmwishoni nimepima maranatha hospital wakaniambia sina ,,
Majibu yananchanganya sana wakati mwingne
Well said kabisaTulia Mkuu, Hauna maradhi fanya issue zako, Maisha anatoa Mungu, unaweza ukawa HIV positive ukaishi Maisha marefu kuliko watu wengine. Mshukuru Mungu kwa kila jambo.
Duuuuhh za kawaida tuu sema huwa najilinda na hizo nyendo hatarishiKwenye hilo la HIV nyendo zako zikoje?
Yeah watu huwa wanafanya hivi ...ili waweze kupata uhakika wa afya yaoKarudie tena kupima kwenye Vituo hata Vitatu tofauti.
Huko ndio kabisa yaani huko ndio kabisa wanatudanganya mnoNdio ni kweli ndo maana hata vipindi vya afya kwenye radio nmeacha kusikiliza ,kutishina tu na kutafuta soko la dawa zao kwa nguvu
Kuna vipindi ukisikiliza unaweza hisi umalizi wiki kabla ya kwenda mbele za haki
Sawa mkuuMkuu tulia pima na maeneo mengine ambayo ufanye uchunguzi wa vipimo vyao kabla ya kupima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba Mungu kesho niamke Salama niwahi hospitali mapema kabla sijaanza mishe zangu niwe na uhakika