Majibu ya Timu Ya Uchaguzi -(Rufaa yake Inakatiwa Wapi????) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Majibu ya Timu Ya Uchaguzi -(Rufaa yake Inakatiwa Wapi????)

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Herbert, Sep 9, 2010.

 1. H

  Herbert Member

  #1
  Sep 9, 2010
  Joined: Oct 8, 2008
  Messages: 73
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Wadau Nadhani ni wengi hawajaridhika na majibu ya hii timu ya uchaguzi. Kuna mambo mengine hayahitaji uwe umesoma sheria ili uelewe kipengele cha sheria kina maaniasha nini?
  La labda sielewe lugha kazi yake ni nini? maana kama naweza kusoma na kuandika kiswahili sinashaka hata maana ya sentensi ninazosoma na kuandika nazielewa na inaponilazimu kuzielewa kifasaha zaidi yanipasa niwe na kamusi.

  Sasa hi sheria zinazokua na tafsiri tafauti na maandiko bora zingekuwa za kichina nisingekuwa na hoja.

  Wakuu msaada rufaa hii timu iskishindwa kazi suluhu inapatika wapi??? Maana majukumu ya hii tiimu huko mbele ni mengi na tusipojua mipaka yake itakuwa hatari kubwa sana.

  wadau nawakilisha.
   
Loading...