Majibu ya TCU bado hayajatoka?

Mimi sielewi mambo ya CAS yaani tangu nime apply mpakaleo check in progress tuu!!! nawakati mahala hapo ndipo panatakiwa kunionyesha kama nimefit selection yangu au laa!! je ntajuaje kama nimefit??? :hail:
 
TCU imefungwa but guyz mkiangalia MY SELECTED PROGRAMS mna ambiwaje mbn mi inanipa ghadhabu ?
 
>>dah hta mimi nimeambiwa cjafanya selection ila tear imeshakaa sawa,nahis walikua wanarekebisha mambo tu.
>>pia wameweka SECOND ROUND SELECTION,sas kwa wenyekujua watuelekeze kuhusu hii,kma tunatakiwa kuomba or not!
 
Mbona hamueleweki?which z which?selection over or?coz kule madude hayaonekani tena,selection status ni vlevile not yet processed?mwenye uelewa na haya mambo atupe ufafanuzi vizuri.
 
>>dah hta mimi nimeambiwa cjafanya selection ila tear imeshakaa sawa,nahis walikua wanarekebisha mambo tu.
>>pia wameweka SECOND ROUND SELECTION,sas kwa wenyekujua watuelekeze kuhusu hii,kma tunatakiwa kuomba or not!

mkuu mbona sikuelewi kwan wameshatoa majina ya wanaotakiwa kurudia round ya pilia u vp
 
dah hawa jamaa hawaeleweki,
mwanz nimeangalia wakanambia kuwa cja apply,
xaa iz wameandika vile vile not yet processed .
xaa ndo nn iv kweli,
dah TCU ina2tesa kwa kweli
 
Kha huo uandishi wako ni tatizo,
dah hawa jamaa hawaeleweki,
mwanz nimeangalia wakanambia kuwa cja apply,
xaa iz wameandika vile vile not yet processed .
xaa ndo nn iv kweli,
dah TCU ina2tesa kwa kweli
 
ATA mimi kaka dah eti selection program siioni na nkifungua view my selection status inasema eti sijafanya application dah msaada kaka mana nimechanganyikiwa.
 
ATA mimi kaka dah eti selection program siioni na nkifungua view my selection status inasema eti sijafanya application dah msaada kaka mana nimechanganyikiwa.

Hiyo huwa inatokea hata kwangu ilinitokea. Just log out and then log in tena itabadilika utaona selection zako. .
 
kaka bado iko vilevile af yan wameniandikia second round application eti nifanye dah ata sijui nifanyaje au ndo nimetupwa second round???????
 
Back
Top Bottom