Mediocrist
JF-Expert Member
- Jan 27, 2015
- 1,709
- 994
Kwetu kuna watu wapo na 75 wameachwaJamaa wameweka cut off kubwa! 65% hata Bora wangeishia 50% angalau inatia moyo
Makuu pole. Mie hapa nimepata above 50 NOT SELECTEDnime fail
mimi nimepata 55Makuu pole. Mie hapa nimepata above 50 NOT SELECTED
Kada gani mkuumimi nimepata 55
Afu 55 umefaulu basi tumimi nimepata 55
nimeandikiwa not selected mkuu office assistant hyoAfu 55 umefaulu basi tu
Ndiyo hivyo mkuu mie mwenyewe NOT SELECTED kwa AUTOMOTIVEnimeandikiwa not selected mkuu office assistant hyo
Mpo wengi sanaaaanimeandikiwa not selected mkuu office assistant hyo
nime fail
shukuru Mungu.. Wengine hatukuitwa kabisa ...vipi lakin upepo uliiuonaje swahibanime fail
Yaani nina mashaka na selection wanazo fanya, pengine wale walio nyimwa hata hii written wangefanya vizuri, na wakiwepo haawezi kutaja, kutaga mchezo nini?!mmmmh..yani hawa wametaga kweli?? wenye hizi no hampo humu??
Kwa ajili ya kuongea kimasai anapokuwa anatimiza majukumu yakeCommunity development wakilitaka wamasai au mtu anae ishi karibu na hifadhi tu.
Kaka naendelea bado kuzifuatilia changizi zako humu jamvini, naelekea kukamilisha uchunguzi wangu. Ila kiufupi we una roho nzuri sana. Very humble man, down to earth. Kwa kweli ubarikiwe sana.Habari za usiku wakuu! Kwa wale walofanya mitihani kwa nafasi mbalimbali mnamo tar 3,February,2018 maeneo ya chuo cha Uhasibu Arusha IAA matokeo tayari hayo hapo chini nimeyaweka au unaweza tembelea website ya UTUMISHI kuyaona.
Kila la kheri mlopita na ungwe nyingine na kwa ambao hamjapita huu ni mwanzo bado safari ya mapambano iendelee pia sio mwisho wa maisha kwa kila jambo huja na sababu yake.