habari zenu wakuu..
nimekua mtumiaji mkubwa wa internet na computer pia, kuna vitu ningependa kufahamu kwa undani zaid. LAN internet ni nini, unapoingia internet cafe utakuta kuna waya umechomekwa kwenye kompyuta ambao umekaa kama waya wa antena, je ule ni waya wa ethernet?ethernet ni nini? kuna internet cafe nyingine wanatumia dish kabisa nadhan speed yake itakua kubwa sana. ningependa kufahamu connection ya hivyo vitu kiundan zaid.
*nitashukuru kwa maoni ya kistaarabu kabisa..
LAN(local area network) connection o computers and network devices within a limited area. kama hapo kwenye internet cafe hiyo ni LAN, pia kwenye college na hata organisation nyinginezo.
Ethernet ni technologia inayotumika katika kuconect device katika local area network Kwa kutumia mfumo wa OSI(open interconnection system) ambayo ipo kwenye physical layer
Swali lako umechanganya sana katika kuuliza:-
Nadhani ungependa kufahamu:-
1. LAN?
2. Ethernet?
3. UTP Cable? - waya unaochomekwa kwenye compyuta...
4. VSAT Dish? - internet cafe nyingine wanatumia dish kabisa...
5. Internet? -
6. Internet Cafe?
7. How does a computer get access to the Internet?
Sina ujuzi wa Kiswahili wa haya maneno hapo juu, lakini wewe kama ni mtumiaji wa "internet", jaribu kutumia "search engine", kwa mfano "Google.com", na majibu na maelezo ya kina yapo huko...
habari zenu wakuu..
nimekua mtumiaji mkubwa wa internet na computer pia, kuna vitu ningependa kufahamu kwa undani zaid. LAN internet ni nini, unapoingia internet cafe utakuta kuna waya umechomekwa kwenye kompyuta ambao umekaa kama waya wa antena, je ule ni waya wa ethernet?ethernet ni nini? kuna internet cafe nyingine wanatumia dish kabisa nadhan speed yake itakua kubwa sana. ningependa kufahamu connection ya hivyo vitu kiundan zaid.
*nitashukuru kwa maoni ya kistaarabu kabisa..
very interesting, na hicho ndicho nachotaka kufanya. ni vifaa gani vinavyohitajika hapo
ymollel
huo waya kama wa antenna, unaitwa Coaxial Cable, ni ule ule wa antenna ya TV lakini kwenye computer unasafirisha data kama ilivyo UTP/STP, WiFi etc etc
Mh.? Coaxial cable inasafirisha data gani katika computer.? just want to know
ni duka gani vinapatikana hivyo vifaa ulivyo vitaja hapa dsm.
Coaxial inaweza kutumika pia.
Zinazokua transfered kwenye cable ni signal
Msaada plz, network kwenye LAN imepotea ghafla nianzie wapi? Au lazima niite technician
Coax inatumika kama UTP kuunganisha networking devices kuna network cards zinakuja na port ya coax, hii inaitwa Ethernet Over Coax. Sema hii technology mostly imepitwa na wakati tangu miaka ya 80-90 hivyo sio rahisi kuiona wana kukuta kifaa kipya chenye port ya namna hiyo.Yap naelewa kuwa ni signal/current variations zinapitishwa katika core ya coaxial na outer shield/gauze inatumika kama earthing na ni most common katika TV systems. But kwa katika ulimwengu wa Computer kuna vingi vya kuconsider ikiwemo supply ya power, data redundancy path/backup path n.k
Thats why nashangaa hiyo coaxial inatumika wapi katika ulimwengu wa computer.?