Muuza simu used
JF-Expert Member
- Aug 23, 2017
- 4,393
- 7,108
Sawa mwalimu wa kiswahili shule ya msingi B[emoji1]Umeandika kwa pupa Sana maudhui ya Uzi wako hujazingatia
HahahahSawa mwalimu wa kiswahili shule ya msingi B[emoji1]
Nje ya mada.Wanasema mapenzi pesa!sasa Tajiri namba moja Africa ameshindwa kukaa na wanawake watatu tofauti hadi Leo ni single Dad! Utasemaje mapenzi pesa!!I can't imagine!sio yeye tu peke yake watu kama Trump etc
Mhubiri 10 : 19b "Na fedha huleta jawabu la mambo yote".Pesa haileti furaha, haitimizi kila kitu
Itanunua kitanda ila si kununua usingiziMhubiri 10 : 19b "Na fedha huleta jawabu la mambo yote".
Nb:- Hii ni kwa Wakristo, kwa wengine labda waje watuambie kama kuna maandiko ya aina hii.
1. Ukikosa usingizi kama una fedha hakuna tatizo, unamwita tu daktari wako anakupatia vidonge vya usingizi unalala.Itanunua kitanda ila si kununua usingizi
Itanunua kitabu ila si kununua akili
Itanunua nyumba si kununua familia
Itanunua dawa ila si kununua afya
Itanunua madaraka ila si kununua heshima.
Safi sana.Mhubiri 10 : 19b "Na fedha huleta jawabu la mambo yote".
Nb:- Hii ni kwa Wakristo, kwa wengine labda waje watuambie kama kuna maandiko ya aina hii.
Huyo mtoto hajui umuhimu wa fedha1. Ukikosa usingizi kama una fedha hakuna tatizo, unamwita tu daktari wako anakupatia vidonge vya usingizi unalala.
2. Ukiwa na fedha huna haja ya vitabu, unachofanya ni kuajiri hao wenye akili wakufanyie kazi.
3. Mwenye fedha hata kama hana uwezo wa kuzalisha hawezi kukosa familia, kuna njia nyingi sana za kisayansi, kiwizi na kimiujiza za kupata familia.
4. Fedha ni jawabu la afya yako na ukiona ugonjwa umeshindikana ujue ni mipango ya Mungu, kwa maana kila binadamu ataonja mauti.
5. Heshima kwa mwenye fedha haikwepeki usipomweshimu yeye utaheshimu fedha zake.
Msisitizo:- Fedha ni jawabu la mambo yote Mkuu.
Kawaacha au kawaachwa matajiri watu wanaokutana na wanawak tofauti kila siku atakuwa nao wengine ila pengine hapend kuweka wazi kwa sababu zakeWanasema mapenzi pesa!sasa Tajiri namba moja Africa ameshindwa kukaa na wanawake watatu tofauti hadi Leo ni single Dad! Utasemaje mapenzi pesa!!I can't imagine!sio yeye tu peke yake watu kama Trump etc