Majibu ya maombi kazi ya SENSA 2022

Majibu ya maombi kazi ya SENSA 2022

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Habari za majukumu wakuu!
Je, zile tetesi au ubashiri wa kwamba majibu ya maombi ya kazi ya sensa 2022 kwamba tar 3 June 2022 mkeka umekubali au?
Hapo awali watu wengi mitandaoni walisema kuanzia leo tar 3 mkeka utasoma.
 
mkeka? ndo nini? utasoma wapi huo mkeka? any way, kuhusu shortlist watakaoitwa kenye usaili wa makarani na maafisa wa sensa subiri kwanza mwezi huu muda wowote, haina haja ya haraka
 
Habari za majukumu wakuu!
Je, zile tetesi au ubashiri wa kwamba majibu ya maombi ya kazi ya sensa 2022 kwamba tar 3 June 2022 mkeka umekubali au?
Hapo awali watu wengi mitandaoni walisema kuanzia leo tar 3 mkeka utasoma.
shika jembe ukalime
 
Mbona tayari mda Sana mkuu...nipe namba yako nkutumie pdf...
 
Watu tunapaswa tujiandae kisaikolojia
 
Back
Top Bottom