Majibu ya Green Card ni lini?

Majibu ya Green Card ni lini?

Vonnies

New Member
Joined
Feb 27, 2023
Posts
4
Reaction score
9
Jamani kwa wale mlio apply hii Green card ya October 2022, majibu yanatoka lini?na utajuaje kuwa ume win? Au huja win
 
Majibu yanatoka jumamosi, Mei 6 2023.

Ikifika hiyo siku ingia website ya "dv program.state.gov" weka confirmation number yako uliyo pewa wakati wa application then utaletewa majibu kama Umeshinda ya Hauja shinda....

Halafu vitu vingine, You can just Google to get answers.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Ahsante sana mkuu
 
Back
Top Bottom