GJHariohay
JF-Expert Member
- Oct 24, 2013
- 1,041
- 1,160
Act ni waroho wa madaraka kama kc wao. Wameamua kunywa juice ya bariiidi kupitia damu za watu. Alafu wanavyomfagilia huyo Maalim Seif kama vile sio mtu/sio binadamu wa kawaida. Kwa taarifa yenu huyo ndio mwenye tamaa sana. Kutoshiriki SUK 2015/2020 inamuuma sana.
Inshort, hakuna maslahi mengine mapya ambayo ACT jnayapigania huko Zanzbr zaidi ya zile damu za watu zilizomwagika. Hayo maoni mnayosema mmeyakusanya nina hakika mmechukua maoni ya viongozi wenu wala siyo ya wananchi. Mnajenga hoja mfu tu hapo.
Take my words, ACT will never get back on game by 2025. Hata CUF ilikufa kwa njia hiyo hiyo.