Majibu second round ni lini?

IDDI SHAFII

Member
Joined
Oct 26, 2012
Posts
37
Reaction score
8
habar wadau wa jf mm nauliza kuhusu majib ya round ya pili TCU maana kuna wanaosema yanatoka hapo hapo au haipit wik moja je ni kwel
 
habar wadau wa jf mm nauliza kuhusu majib ya round ya pili TCU maana kuna wanaosema yanatoka hapo hapo au haipit wik moja je ni kwel
Sidhan kama kitu unachoongea kina ukwel wowote. Bali mm ninavyofaham kuwa mwisho wa kupokea maombi kwa second round n tareh 23 september. Na kama ni tareh iyo bac tutarajie result apo n october
 
Mi na mdogo wangu kajaza kozi 4 ya 5 inagoma second selection, msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…