Kwanza nikurekebishe uandishi wa maneno yakoKuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano
Sasa kinacho ni maliza ni hiki hapa she e wetu huyo ana tukana balaa hafu sio yeye t ambao nime kutana nae wapo wengi t hadi mwezi huu mtukufu wa ramadhan
Sasa najiuliza tusi huwa sio zambi ama wana chukuliaje tusi? hapo sinaga majibu kabisaaaaaaa [emoji15]
Kumbe we mwalimu wa kiswahili sawa mkuu ila nashukur nilicho handika kimeheleweka vizuri tu labda wewe pekeyako tu ila nashukuru kwa kunieleweshaMkuu Wilo nakuomba wakati mwingine kabla hujatuma mchango wako hadharani pitia upya maandiko yako kuna makosa ambayo ungeweza kurekebisha
Shee=Sheikh
Waheslam=Waislamu
Hafu=Halafu
Zambi=Dhambi
Mkuu hakuna typin error hapo, asikuchoshe hajui kuandka vzur huyo cjui kaishia darasa la ngap..
Shame
Eti umwabudu mungu kwa mabomu (islamic state)Heti anakuhuliza ina ugumu gani ndo wenyewe hao!
Shikamoo mkuu.. !!Mkuu Wilo nakuomba wakati mwingine kabla hujatuma mchango wako hadharani pitia upya maandiko yako kuna makosa ambayo ungeweza kurekebisha
Shee=Sheikh
Waheslam=Waislamu
Hafu=Halafu
Zambi=Dhambi
Naona mleta mada imefurahi sasa ,maana umepata ulichokuwa unakisaka.Kuna shee hapa mtaani kwetu ni swala tano kama mnavyojua waheslam wanao shika dini yao vzr mda waku swali ukifika lazima aswali wanaita swala tano