Alikaa Nairobi miezi mingapi??? Mngemtaka mbona alikuwa tayari kuhojiwa mkuu!!Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Km wakikujibu unitagMaswali ya Nyongeza 1,.Je Km wameshindwa Kuchunguza kwanini hawataki Tume Huru kuna kitu gani nyuma ya Pazia
2, Wanao Mtuhumu dereva je ana cheo gani cha kuwaamrisha Walinzi wote wasiwepo kwenye maeneo yote
3.Ninani Hupanga zamu za walinzi
4.Je walinzi ni wa Kampuni Binafsi.
Yani lisu ndo mtoa utaratibu wa kuhojiwa hahahahah, huu utani Lisu alitakiwa afanye juu chini ahojiwe au aende mahakaman kudai haki yake na sio serikali iangaike na yy.Serikali haina cha kupoteza lkn maajabu ni lisu kama kuiamrisha na kuifundisha serikali cha kufanya kati Shida ni zake yy.Huo mda aliotumia kuita press conference Kenya kwann hakutumia kudai haki yake Tz?Ilitosha lisu kushirikiana na mawakili wake kufungua kesi kudai haki yake mahakaman na uzur dereva yuko salama kabisa.Siasa uchwara za lisu zinashika akili za wapumbavu na sio wanaojitambua.Mda anaotumia kutoa mapovu kwenye social media unatosha kabisa kudai haki yake kwa njia za kisheria kama ana HAKI ZOTE.Alikuwa Nairobi na mlipewa taratibu za kufuata kumhoji...kwani watu walijigusa? Imagine gari iliibiwa Kenya, taarifa ikatolewa kwa police Tanzania mbona ilikamatwa fasta tu. Hili la Lissu ni wazi kuwa kuna amri imetolewa hakuna kuhusika kwa namna yeyote ile.
Kuna watu wamebarikiwa roho za kipekee, how comes mtu unakuwa hivyo, hata nafsi haikusuti?
Tatizo lenu mnapenda kusikia yanayo wafurahisha tuu na nininyi huwa wa kwanza kuwanyooshea wengine vidole hawana uvumilivu kwa wengine...It is a pity kuwa watu tuliokuwa tunawatumaini kama brain za nchi hii angalau katika tasnia ya uandishi wa habari , ndio wako hivi kama Pascal! Nilkuwa nimeanza kujenga positive attitude na huyu bwana , lkn post ya leo imenitoa kabisa! Pascal unashindwa kuona kuwa wapinzania wote wa Jiwe ambao ni outspoken wamepotea, and knowing kuwa Lisu ni namba MOJA mpinzani (siyo adui) wa Jiwe, kuwa hili lililotokea most likely and that is SO ni mkono wa Jiwe? Pascal Mayalla
Mwanzo walisema ni mgonjwa sasa hivi lissu amesema anasoma huko belgium...Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Mm pia nilifikiri ivyo ila pia nkapata jibu kua huenda aliwatambua "wasio julikana" na kwa kuhofia uhai wake akaamua kusepa,,ivi ingekua ni ww ingekubali kukaa hapa na situation ilivyo has a taasisi kubwa zinapo hisiwa huenda ziliusika?Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Madai/hoja yako ilisha jibiwa siku nyingi,inaonesha mwenzetu ni mvivu wa kutafuta habariDereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Pole mkuuSasa yuko Chuo Anasema certificate kisha Diploma akimaliza degree ndiyo anakuja kuhojiwa
Habari za ndani zinasema anatafutiwa namna ya kupata Uraia au Ukimbizi
Jiulizeni kwanini yote hayo yanafanywa na Chadema?
Kaka mkubwa nilidhani utakuwa unajadili kwa fikra huru kumbe umefungwa na ubinafisi wa fikra.
Naomba nikuulize maswali ya msingi kama yafuatayo
1) Kiasi furani utakuwa umesoma au kusikia tukio lolote linapotokea ni watu gani wanakuwa wakwanza kuojiwa na jeshi au vyombo husika vya Usalama?
2)Je kila tukio la upelelezi police wanalazimika kutoa taarifa kwa jamii au wananchi husika?
3) Wewe unataka watanzania wafanye nini kuhusu kupigwa risasi 38? Na je Lissu ndie mtanzania wa kwanza kupingwa risasi na kama sio wa kwanza je waliopigwa kabla yake watanzania walifanya nini na ww ulifanya nini
Ombi langu kwako ukiwa unajadili mambo yanayogusa jamii kwa ujumla wake husiongozwe na matamanio binafisi
Hizi takataka nyingine, hata kusoma ni kichefu chefuYani lisu ndo mtoa utaratibu wa kuhojiwa hahahahah, huu utani Lisu alitakiwa afanye juu chini ahojiwe au aende mahakaman kudai haki yake na sio serikali iangaike na yy.Serikali haina cha kupoteza lkn maajabu ni lisu kama kuiamrisha na kuifundisha serikali cha kufanya kati Shida ni zake yy.Huo mda aliotumia kuita press conference Kenya kwann hakutumia kudai haki yake Tz?Ilitosha lisu kushirikiana na mawakili wake kufungua kesi kudai haki yake mahakaman na uzur dereva yuko salama kabisa.Siasa uchwara za lisu zinashika akili za wapumbavu na sio wanaojitambua.Mda anaotumia kutoa mapovu kwenye social media unatosha kabisa kudai haki yake kwa njia za kisheria kama ana HAKI ZOTE.
Sema kila msichopenda kusikia ni takataka,nyie mnataka kila litokalo kwa lisu watu waimbe HallelujahHizi takataka nyingine, hata kusoma ni kichefu chefu
Utaratinu ufuatwe interpol waemde wakhoji ka ilibyotaliwa kufamyila alipokua Maironi.Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Haya yote hayahitajiki, Umaarufu wa Lissu umeisha na kesi yake ishugulikiwe kama kibaka aliyeshambuliwa na kuumizwa na wananchi wenye hasira kali. No special treatment.Km wakikujibu unitag
Acha upuuzi serikali ya kichaa haijachaguliwa kidemokrasia ndio maana analindwa na majeshi ya Rwanda kwa siraha za kivitaKwa hiyo wewe unapendekeza serikali ya nchi hii iliochaguliwa kidemokrasia ipinduliwe au ? Wacha ujinga ndugu ! Tembelea Libya na Iraq walau mitandaoni uoene ya huko halafu rudi humu JF na pendekezo mbadala.
Hahahahah hawa jamaa aliyewaroga akili Mungu anawaona.Wao kila linalomhusu lisu inatakiwa tuimbe Milele amina.Kama camera zilikua kwa lisu nani alizitoa?Mbowe alisema CCTV zilitolewa,aliwaeleza nani alizitoa na kivipi?Anayewafananisha wafuas wa chadema na wale wanyama wa kule Serengeti aliona mbali sana.Mwanzo walisema ni mgonjwa sasa hivi lissu amesema anasoma huko belgium...
Mwanzo walisema CCTV zilikuwa kwa kalemani na jana Lissu kasema CCTV zilikuwa kwake...