Kaziutumishi
JF-Expert Member
- Aug 17, 2018
- 325
- 385
Pascal MayallaNawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.
Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?
Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.
Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
unamuita?
yes! kuna post ameweka humu akimu-implicate dereva wa Lisuunamuita?
Lisu asijichoshe kumjibu Pascal kwa maana sikuhizi akili za pascal hazina tofauti na vijana wa lumumba.Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.
Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?
Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.
Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
It is a pity kuwa watu tuliokuwa tunawatumaini kama brain za nchi hii angalau katika tasnia ya uandishi wa habari , ndio wako hivi kama Pascal! Nilkuwa nimeanza kujenga positive attitude na huyu bwana , lkn post ya leo imenitoa kabisa! Pascal unashindwa kuona kuwa wapinzania wote wa Jiwe ambao ni outspoken wamepotea, and knowing kuwa Lisu ni namba MOJA mpinzani (siyo adui) wa Jiwe, kuwa hili lililotokea most likely and that is SO ni mkono wa Jiwe? Pascal MayallaLisu asijichoshe kumjibu Pascal kwa maana sikuhizi akili za pascal hazina tofauti na vijana wa lumumba.
Umaskini ni kitu kibaya sana mkuu,fikiria udaiwe ada ya watoto,kodi ya nyumba shida hapohapo una marejesho bank,mama/baba/mke awe mgonjwa hospital.Hope utakuwa umenielewa mkuu.It is a pity kuwa watu tuliokuwa tunawatumaini kama brain za nchi hii angalau katika tasnia ya uandishi wa habari , ndio wako hivi kama Pascal! Nilkuwa nimeanza kujenga positive attitude na huyu bwana , lkn post ya leo imenitoa kabisa! Pascal unashindwa kuona kuwa wapinzania wote wa Jiwe ambao ni outspoken wamepotea, and knowing kuwa Lisu ni namba MOJA mpinzani (siyo adui) wa Jiwe, kuwa hili lililotokea most likely and that is SO ni mkono wa Jiwe? Pascal Mayalla
Sasa yuko Chuo Anasema certificate kisha Diploma akimaliza degree ndiyo anakuja kuhojiwaDereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Kwa hiyo wewe unapendekeza serikali ya nchi hii iliochaguliwa kidemokrasia ipinduliwe au ? Wacha ujinga ndugu ! Tembelea Libya na Iraq walau mitandaoni uoene ya huko halafu rudi humu JF na pendekezo mbadala.Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.
Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?
Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.
Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Mtakuwa mmetumwa sio bure! It's fortunate wote wamepona. Angekufa Lisu Dereva angeteseka sana. God is working between us. Ficha upumbavu wako.Dereva wa Lissu ni mtu muhimu saaana kwenye uchunguzi. Sasa anafichwa asihojiwe. Na wanaomficha ni wadau muhimu kwenye hii kesi. Ni wazi kuna kitu hapa. Dereva anakwenda kukaa na mgonjwa Nairobi na baadaye Belgium. Mwanzoni tukadanganywa anatibiwa kisaikologia. Sasa hivi hawasemi tena. Kwa nini isiaminike kuwa anafundishwa atakavyojibu pindi wanaomficha wakimwachia? Ila ukweli utafahamika tu. Wenye akili wanapojadili kushambuliwa kwa Lissu NI LAZIMA wawaze ni kwa nini dereva anafichwa kwa gharama kubwa sana.
Maswali ya Nyongeza 1,.Je Km wameshindwa Kuchunguza kwanini hawataki Tume Huru kuna kitu gani nyuma ya PaziaNawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.
Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?
Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.
Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Naona watu mnakuwa wepesi kusahau. Wasiojulikana walianza kutajwa pale walipoenda kumteka Zakaria Tarime na mchezo ukakosewa mahesabu wakaambulia shaba.wasiojulikana ipo day watatajwa kwa majina na kila mtu atawafahamu! Mungu aendelee kumponya lissu! Ni suala la muda tu!
Kaka mkubwa nilidhani utakuwa unajadili kwa fikra huru kumbe umefungwa na ubinafisi wa fikra.Nawashauri acheni habari kumtaja taja dereva whether ni kwa lengo la kuonesha hahusiki au anahusika. Tatizo ni kuwa watz wengi wanahitaji kusaidiwa ktk KUFIKIRI na at the same time wasiojulikana wapo kazini kupitia media, genge za kahawa na shoeshines kuwasaidia KUFIKIRI kuficha ukweli.
Maoni yangu ni kuwa mjadala wote juu ya jaribio la kumuua LISSU uwe ktk sura hii;
1. Je mtz yoyote akishambuliwa uchunguzi unatakiwa unafanywa na nani?
2. Je kuna uchunguzi wowote umefanyika juu ya Lissu?
3. Km NDIYO je maendeleo ya uchunguzi huu yamefikia wapi?
4. Km HAKUNA je why serikali ya Tz imeamua kutokufanya uchunguzi wa tukio la Lissu?
5. Je kwa katiba yetu nani ni mkuu wa serikali ta Tz na ana mamlaka kiasi gani?
6. Je nani ni mkuu wa serikali ya Tz wakati Lissu ameshabuliwa na sasa mwaka moja baadaye?
7. Je aliyepigwa risasi kuna watu anaowashakia walihusika in/directly?
8. Km wapo WANAOSHAKIWA je ni kina nani?
9. Km hawapo wanaoshakiwa hi habari ya dreva wa Lissu lengo lake ni nini?
10. Kwa hiyo sisi km watz tunafanyeje juu ya Lissu kupigwa RISASI 38?
Jibu la swali namba 10 ni hv, ondoa kichaa jiwe na genge lake by any means necessary, tengeneza katiba ya MERIT BASED SOCIETY kisha serikali na taasisi zitafanya kazi zake za kuchunguza yote ya kina lissu, saanane, azori, mawazo, yona na wengine wote.
Nje ya hapo ni kuendelea kunufaisha wanaonufaika siku zote na hawa watz wanaotakiwa kusaidiwa KUFIKIRI
Mambo matatu, ama upo kwenye kazi ya kichaa jiwe au ni mmoja wa wanufaika wa huu utawala qake ua una tatizo la low IQ ambayo sikulaumu maana ni kazi ya geneticsKwa hiyo wewe unapendekeza serikali ya nchi hii iliochaguliwa kidemokrasia ipinduliwe au ? Wacha ujinga ndugu ! Tembelea Libya na Iraq walau mitandaoni uoene ya huko halafu rudi humu JF na pendekezo mbadala.