Majibu haya huashiria mwanamke uliyemtongoza amekubali

Behind the camera

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
315
740
Kuna muda bana wanawake wapo mguu ndani mguu nje. Unaweza kumtongoza akakubali kiaina.

Anasubiri tu ujiongeze.

Ewe kijana / mwanaume / Baharia pindi uonapo majibu haya ujue ni

1. Unanitaka sawa. Lakini mke /mwanamke wako je?

2. Nakupenda lakini ngoja kwanza nifkirie

3. Pliz usije ukawa sababu ya maumivu yangu tena.

4. Mume wangu mkali, akijua je

5. Rafiki yako (fulani) simpendi na sipendi ajue maana ni mmbea sana mi naogopa

6. Utaniweza?

Hawa watu bana wana vi kauli viingi vinavyo ashiria kuwa amekubali. Lakini hasemi moja kwa moja.

Hebu ongeza vikauli vingine.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom