Majibu baada ya Oral Interview Utumishi

Ottician

Senior Member
Jul 6, 2019
103
81
Habari wakuu,
Ninaomba mwongozo hapa:

Hili swala la kufanya oral interview then majibu hayatoki ( kuchukuliwa au la) then zinatangazwa nafasi mpya kada hio hio limekaaje hapo. Ni kwamba vigezo vya nafasi hio havijafikiwa wasailiwa wote?
Na vipi kuhusu kuwekwa kwenye database (kanzidata).
 
????
 
Inshu hapo sio kada hiyohiyo kwenye taasisi hiohio? Na je nafasi zilizotangazwa ni Re-advertise
 
Nasikia huwaga wanatunza data za interview na majibu for six month sijui ndo maana unaweza usiende kwneye interview ila ukapgiwa simu ukaripoti kazini sehemu flani maana data zipo ze nyuma.. Case yako hii pagumu mnoo kwamba wote mlikuw vilaza au??
 
Hapo ni kwamba wasailiwa waliongia kwenye oral waliferi (walipata chini ya 50 marks).

Kuwekwa kwenye kazi data mpaka uwe umefauru kwa zaidi ya 50 oral na kukosa nafasi wakati huo.
 
Vp kuhusu matokeo wanatoa? Au ukiona kimya inabidi ujiongeze
 
Ahsante kwa muongozo
 
Vp kuhusu matokeo wanatoa? Au ukiona kimya inabidi ujiongeze
Matokeo ya oral huwa hayatolewi. Ila kama ulifanya vizuri usiacha kupitia sehemu ya kuitwa kazini maana unaweza chukuliwa toka kwenye kanzi data yao ambako hua na uhai wa miezi sita toka kuwekwa huko.
 
Asante kwa mwongozo
 
Yawezkna nafasi zimeongezeka.

Back
Top Bottom