Maji yamelowana

Mi huwa najiuliza Tiss na Jw ni mazombie au wenyewe sio wananchi wa Tanzania! Ndio matatizo ya darasa la saba na form four failures kuwa kwenye sehemu nyeti.
 
Ila hii nchi inakoelekea, ni Mungu tu ndiye anayejua. Naamini hata Chifu Mangungo na mdogo wake Mangungu, hawajui wanako tuoeleka.
 
Vumbi limechafuka
 
Mtu kashaenda kuchuma busara kwa uncle we huna chako,kwanza shukuru Allah mpaka sasa dsm bado kuna mtu kama wewe.
 
Taifa halina dira kila anaekuja anakuja na yake lazima tuone tofauti!. Walinda mipaka mi huwa nawashangaa hivi unawezaje kulinda pembeni yako nawakati katikati yako inaliwa!..
Wanawake wa kichaga wachepukaji huwa wanasema " kula pembeni pembeni katikati muachie Masawee...wakinogewa wanasema kula yoote Masawe atakula mafi yake"

Hapa nako wanamega mdogo mdogo wakikolewa tunauzwa jumla cc Ndugai.
Mshana Jr
 
Wanawake wa kichaga wachepukaji huwa wanasema " kula pembeni pembeni katikati muachie Masawee...wakinogewa wanasema kula yoote Masawe atakula mafi yake"

Hapa nako wanamega mdogo mdogo wakikolewa tunauzwa jumla cc Ndugai.
Mshana Jr
wakinogewa wanasema kula yoote Masawe atakula mafi yake"
 
Huko wamejaa kijani, sifa na mapambio kusaka teuzi
 
Haya mambo huenda yana mlolongo ambao umechezwa kama chess. Fikiria kwa undani. 1. Alianza kufariki Mkapa. 2. Akafuata Magufuli..... 3: malizia kwa kuangalia hii clip hapa
 
Rais Samia : kila kitu kibinafisishwe ,serikali ya Tanzania haitafanya biashara yoyote.( 13/6/2022, akiwa Oman)
Wauze Tanesco, atakayenunua amalizie bwawa la Rufiji, maana haliishi tu,
Waziri Makatani ile crane aliyosema imeshafika?
 

Mbwa kala Mbwa. Ni suala la Muda Mbwa atakula Mbwa.
 
Tukiwaambia utumwa unarudi hawaelewi, hasa wale wazee wa kusifia kila kitu na wale vibaraka wa sa
.

WaTz ikitakiwa tuwe macho awamu hii na nyakati hizi kulko nyakat zozote zile maana huyu kiongozi wa sasa kaingia ki......, na anavyowapenda mataifa ya kizungu&kiarabu basi tujue thaman ya mtanzania itakwisha kama sio kununulika na hao mabepari&mabeberu.

Ni ubishi tu ila maneno ya ndugai mtayafanya reference siku yakitimia maana tuendako ni kubaya na viongoz wenu wanaficha ficha mambo kwa manufaa yao, ila ni suala la muda tu......
 
Clueless Mangungo reincarnated? How now?
Let him rest, your problem lies with people who are supposed to rest but don't want to rest.
 
Clueless Mangungo reincarnated? How now?
Let him rest, your problem lies with people who are supposed to rest but don't want to rest.
your problem lies with people who are supposed to rest but don't want to rest.

That's another way of reincarnation
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…