Rais Samia : kila kitu kibinafisishwe ,serikali ya Tanzania haitafanya biashara yoyote.( 13/6/2022, akiwa Oman)
Tuuze nchi tugawane hela..😂Ndani kuna watu wanajiita "wasalama". Simaanishi Sungusungu, yaani ni watu wa ndanindani huko deep. Lakini hata huo Usalama wao haujulikani ni Usalama wa nini. Kwa nchi nyingine hawa ndo wangerekebisha kukubali au kukataa madudu ya ndani, kurekebisha au kunyoosha makandokando. Lakini hawa wa kwetu wapo, wapowapo tu ni Bora Sungusungu wa Buchosa wangepewa hii kazi.
Sio unasikia hii kitu ni kweli kabisa.Nasikia akimaliza huko anakuja Mbeya-Mbarali anachukua vijiji anavyodai vipo hifadhi ya Ruaha wapate vitalu asante Mama na Kaka mkubwa bila kumsahau Kim Nana.
Akitoka huko anakuja bara