Maji ya uhai

Nadhani watakuwa wastaarabu kama watatokeza hapa kujibu juu ya hilo tundu lililopakwa pattex, ili kuweka mambo sawa..huh!
i wish wangekuwa COMPUTER-LITERATE wakaijua jf.......!
 
duh hii kali kama kweli Bongo hayo yanatendeka tuna safari ndefu kuheshimu biashara za watu!

Wabongo noma mkuu maisha magumu yanapelekea ubunifu wa udanganyaji wa bidhaa ili watu wapate chochote kitu mazee
 

yaelekea umeyanywa sana mkuu. Tatizo ni kuwa hatujui hii JF ni rasmi kiasi gani. Isije ikawa ni sehem ya kumalizia stress zetu tu kutokana na msongo wa maisha. Wahusika wakuu watuambie kama ishu muhimu humu huwa zinaifikia serikali, na kama kuna mrejesho wowote kuhusiana na suala husika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…