Maji ya uhai

Sasa mbona wengi mnaandika kishabiki? Hii inanikumusha story ya mama mmoja mbaye mtoto wake wa kiume kabakwa huko Tanga. Mbakaji mwenyewe fundi Cherehani. Mama na shoga yake wameenda kwa fundi kulalamika. Badala ya kufika pale na kuanza kulia na fundi, wao wakaanza mazungumzo kati yake na wao. Mara wamsifie jamaa alivyo mkubwa, mara ohh heri hata angeliwaomba wao au dada zake wamlipie kijana deni kwa kumgawia jamaa uroda. Na mwisho ndiyo wanatoa shutuma "ona sasa umeniharibia mwanangu, hawezi hata kukaa". Wakaongea wee na mwisho hao wakajiondokea.

Kama hili ni kweli nafikiri kungelikuwa na UTARATIBU wa forrum hii kushughulikia mambo mengine yaliyo ndani ya uwezo wetu. Kama ni kweli kwa nini JF isiwe na utaratibu wa kuandika sehemu barua moja kwa moja? Ni kuwalima barua au hata kuwapigia simu hao TBS na sijui TFDA ili wafanye uchunguzi. Pia baadhi ya sample ya maji inaweza kupelekwa kwenye maabara za Vyuo kama Muhimbili, UDSM na chuo cha maji ambacho kipo Dar na wao nina uhakika wangeliweza kusolve hii kesi haraka sana.

Nina uhakika humu ndani kutakuwa na watu wenye vyombo vya kupimia water quality. Pia si ajabu hata wafanyakazi wa hizo sehemu au ndugu zao. Walishighulikie hili ili kuokoa maisha yao au ya ndugu zao. Na hata kama itaonekana kuna USHENZI wanafanyiwa hawa jamaa, basi wao wafanye uchunguzi ni nani anatoboa maji yao na kuchanganya na maji ya kawaida yenye hatari.

Mwisho kama ni kesi ya VIDUDU, basi wenye nyumba zao, mnaweza kuwa mnaweka maji kwenye paa la nyumba siku nzima juani. Ila inabidi iwe chupa inayopitisha mwanga wa jua. Mwanga ule ukichoma siku nzima, basi yale maji yanakuwa SALAMA ingawa yanaweza kuwa si SAFI. Labda jamaa wawe wanaweka sumu ndani.

yaelekea umeyanywa sana mkuu. Tatizo ni kuwa hatujui hii JF ni rasmi kiasi gani. Isije ikawa ni sehem ya kumalizia stress zetu tu kutokana na msongo wa maisha. Wahusika wakuu watuambie kama ishu muhimu humu huwa zinaifikia serikali, na kama kuna mrejesho wowote kuhusiana na suala husika
 
Back
Top Bottom