Weka dawa ya chlorine mkuu uko maeneo gani kwanza halafu usiwe unaweka maji bila ku discharge yaliyobakia mwanzo.WanaJF, naomba msaada kwa ajuaye
Nilichimba kisima nikajaza maji ya mvua mwezi Dec. Jana nimeyatest maji ni machungu kama yana mchunga.
Sio chumvi, wala magadi ila yana Uchungu na hayafai kwa mtumizi.
Kiresua
Kama haujahamia na kuweka umakini wa Tanki lako, maji yatakayokuwemo tankini usiyaamini hata kidogo.Ni tenk jipya, na hatujahamia bado. Maji ni ya mvua. Niko Morogoro
Kama haukuweka krolini au shabu mbu wameyakojolea, hata hivyo hongera kwa kutujulisha kuwa umenunua tankiWanaJF, naomba msaada kwa ajuaye
Nilichimba kisima nikajaza maji ya mvua mwezi Dec. Jana nimeyatest maji ni machungu kama yana mchunga.
Sio chumvi, wala magadi ila yana Uchungu na hayafai kwa mtumizi.
Kiresua
Maybe you have conceived.WanaJF, naomba msaada kwa ajuaye
Nilichimba kisima nikajaza maji ya mvua mwezi Dec. Jana nimeyatest maji ni machungu kama yana mchunga.
Sio chumvi, wala magadi ila yana Uchungu na hayafai kwa mtumizi.
Kiresua
Tank ulilisafisha vizuri kabla ya kuweka maji?WanaJF, naomba msaada kwa ajuaye
Nilichimba kisima nikajaza maji ya mvua mwezi Dec. Jana nimeyatest maji ni machungu kama yana mchunga.
Sio chumvi, wala magadi ila yana Uchungu na hayafai kwa mtumizi.
Kiresua
Huyo jirani yako mwenye macho mekundu na mke asiyetosheka muangalie Sana.WanaJF, naomba msaada kwa ajuaye
Nilichimba kisima nikajaza maji ya mvua mwezi Dec. Jana nimeyatest maji ni machungu kama yana mchunga.
Sio chumvi, wala magadi ila yana Uchungu na hayafai kwa mtumizi.
Kiresua
Tank lako ni la ujazo gani.Ni tenk jipya, na hatujahamia bado. Maji ni ya mvua. Niko Morogoro