MAJI YA MGAO HATA KWA NDEGE JAMANi???????????

Kama ndege wanahangaika this much inaonesha kuwa success sio mchezo wa kitoto!!!
Thanx for this picture MziziMkavu
 
Last edited by a moderator:
Mkuu MM picha yako inajieleza vizuri saa kuwa shida hapo na tatizo lipo sana tena kubwa
 
duhhhhh mi najuaga wanaonaga vidimbwi tu
Mkuu hayu ndege anajua mazingira vizuri anayoishi,siku za nyuma alishawahi kuona maji yakitoka katika bomba lile,ndiyo maana aliamua kwenda kuyasaka hayo maji akiamini angeyakuta!
 
Mkuu hayu ndege anajua mazingira vizuri anayoishi,siku za nyuma alishawahi kuona maji yakitoka katika bomba lile,ndiyo maana aliamua kwenda kuyasaka hayo maji akiamini angeyakuta!

hahahahahahahaha duhhhhhh
 
Shida hapo ni kwamba kashindwa kufungua bomba kwa kukosa utaalamu. Sawa kabisa na sisi wenyewe tunavyoshindwa kutumia resource nyingi tulizonazo kwa kukosa pia utaalamu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…