- Thread starter
- #21
Hahahahaha!Ahaha Isijekuwa Ulizoea Maji ya Mkoani[emoji16]
Hahahahaha!Ahaha Isijekuwa Ulizoea Maji ya Mkoani[emoji16]
?Weka kwenye chupa mpelekee mkemia mwambie ni mkojo wako.
Halafu tuletee mrejesho hapa wa majibu
Unafikiri dawasco watawajibika kwa haya
Hivi si huwa kuna chombo cha kutetea haki za walaji hapa Tanzania? Nafikiri huu ni wakati muafaka wa kukitumia chombo hiki.Unafikiri dawasco watawajibika kwa haya
Not in Africa
Kweli mkuuHivi si huwa kuna chombo cha kutetea haki za walaji hapa Tanzania? Nafikiri huu ni wakati muafaka wa kukitumia chombo hiki.