Mwenyeminazi
Senior Member
- May 24, 2012
- 194
- 67
Ahsante mkuu. Duh sasa naanza pata mawazo mengine tena!!!! Anamegwa????Hahahaaaa,pole kaka,na wewe muapishe kwa kumwagia maji hayo hayo,tena kwa sababu wao hata kama hajisikii mtafanya tu,basi muapishe kuwa kama ametoka nje ya ndoa basi akimwagiwa hayo maji awe kipofu!Next week rudi hapa utupe mrejesho!Anajihami huyo inawezekana yeye ndo anatoka anataka kujionyesha mwaminifu!
Nini Tena Mkuu. si uniaambie mbona unaniacha hewani.jiangalie ....
Aaah Boss, Mbona mi najiamini tu au unamaanisha nini?Mkeo akuamini Tu, licha ya kuwa hata wewe mwenyewe hujiamini. Anza kusafiri nae mkacheze mechi ulaya
Ahsante mkuu. Duh sasa naanza pata mawazo mengine tena!!!! Anamegwa????
Haya ndio matatizo mengine ya kutaka msaada JF. unaweza ukazimia wasipotokea watu wenye kuelewa kutatua matatatizo^^
Penye moshi pana moto
^^
Ahsante mkuu nitamuambia atafute njia mbadala hii inaniharibia mood maana huwa nashikwa na hasiraadah...noma sanaaa..ila ataungekuwa wewe lazima uwe na mashaka kama huwez kupitisha wiki sembuse miezi mitatu..ila pia maji ya balaka sio ishu kabisa mapadri wanajitaidi kubalik kumbe nanyinyi manayatumia kubaliki viungo dah..kama bado hanaimani nawewe mwambie atafute njia nyengine ya kufanya sio hiyo....
^^
Penye moshi pana moto
^^
Kwa imani niliyonayo!!! suppose anakuwa kipofu kwa maombi yangu si mtanikimbia hapa JF kwa usumbufuHuko sasa mkuu usiwe na mawazo hayo asilimia mia moja,wewe siku akikuletea maji hayo kama kawa kubali,then sema,''Ee Mungu kwa maji haya ya baraka mke wangu kama amenisaliti nikimwagia miguuni basi awe kipofu",utamuona tu atakavyobabaika,akikataa husimulazimishe,hayo maji ni ya baraka kweli atakuwa kipofu!
nakupongeza kwa kutumia tafsida, umestaarabika ndugu