robert sendabishaka JF-Expert Member Dec 11, 2015 3,084 3,258 Jan 31, 2017 #2 ndio yale aliyozindua mkubwa wa microsoft? la sivyo ni jina la kawaida nje ya nchi zisizozungumza kiswahili.
ndio yale aliyozindua mkubwa wa microsoft? la sivyo ni jina la kawaida nje ya nchi zisizozungumza kiswahili.
terasy JF-Expert Member Apr 11, 2013 478 133 Jan 31, 2017 #3 Hayo maji yatakuwa ni kutoka nje ya nchi
O option JF-Expert Member Jan 15, 2013 2,027 1,494 Jan 31, 2017 Thread starter #4 Tanzania ya viwanda, hiki ni moja ya kiwanda kipya
terasy JF-Expert Member Apr 11, 2013 478 133 Jan 31, 2017 #5 option said: Tanzania ya viwanda, hiki ni moja ya kiwanda kipya Click to expand... Kipo mkoa gan hicho kiwanda
option said: Tanzania ya viwanda, hiki ni moja ya kiwanda kipya Click to expand... Kipo mkoa gan hicho kiwanda
Nana brain JF-Expert Member Jan 3, 2017 488 367 Jan 31, 2017 #7 Nimecheka kwa nguvu aisee na ninavyojua kusense hayo maji ntahisi nakunywa ma.vi kabisa, kwa kweli naomba niyapishie mbali
Nimecheka kwa nguvu aisee na ninavyojua kusense hayo maji ntahisi nakunywa ma.vi kabisa, kwa kweli naomba niyapishie mbali