Hali ni mbaya sana ndugu yangu.Nikweli Mkuu hata Mimi nipo hapa Magomeni Nina wiki ya pili Maji hayatoki. Najuta kuja mtwara.
Mara zote maji yakitoka ni machafu sana. Inabidi uyakinge kwenye simtank uache yatuame ndio utumie. Shida ni kwamba sasa hata kutoka hayatoki wiki mbili.Dah poleni..mamlaka ya maji Mtwara ni tatizo sana kipindi kile tukaona picha maji machafuu kisa chujio..
Poleni..lakini kwakua ushalileta humu amini litapata ufumbuzi,wahusika wanapita humu.Mara zote maji yakitoka ni machafu sana. Inabidi uyakinge kwenye simtank uache yatuame ndio utumie. Shida ni kwamba sasa hata kutoka hayatoki wiki mbili.
Sent using Jamii Forums mobile app
A! Hii miji sio ya kuishi kabisa mtwara lindi miji migumu sana kila kitu shida tu kuanzia chakula hadi maradhi ni shida tu maji chumvi tu umeme unakata kata tu as if sio mji mkubwa mtwara panakera sana jua kali hata hakuna raha bora ata dar maji ya baridi bei nafuu tu ata kama kuna joto lakin halifikii jua kali la mtwara linakupiga utosini unajuta kutembea mchana.Njoo uishi huku Lindi areas maji kama yote mito kibao
Lindi kucheleeeeeeeeH
Mchana hakulaliki ndani unashindwa ata kupumzika.A! Hii miji sio ya kuishi kabisa mtwara lindi miji migumu sana kila kitu shida tu kuanzia chakula hadi maradhi ni shida tu maji chumvi tu umeme unakata kata tu as if sio mji mkubwa mtwara panakera sana jua kali hata hakuna raha bora ata dar maji ya baridi bei nafuu tu ata kama kuna joto lakin halifikii jua kali la mtwara linakupiga utosini unajuta kutembea mchana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maji ni shida sana halafu hakuna information yeyote iwapo kuna tatizo au la. Yakitoka pia ni tope mwanzo mwisho. Hayafai hata kunywa. Maji yakunywa tunanunua toka ndanda.Hivi mtwara shida ya maji huwa haiishi, maji yenyewe wanayowapa watu ya chumvi. Hivi haiwezekani kutumia vyanzo vingine vya maji, mfano kutoka kule Ndanda.....vp, hiyo shida ya umeme ni kwa sababu ya wazungu wa Artumas kuondoka maana nakumbuka kuna kipindi waliondoka ikawa majanga.....umeme unakuja mdogo hadi balubu zinatoa mwanga kama wa kibatari...
Hii ndio ajabu nyingine. Maji yakunywa tunanunua ndoo ya lita 20 kwa shilingi 2000 toka ndanda. Maji ya Mtuwasa yakitoka bombani ni tope kama lote. Bila simtank la kuyaweka kwanza yatuame huwezi hata kuoga.Mtwara shida Sana kwa muda niliokaa hapo eti maji baridi yanatoka ndanda dah na ni ya kununua ao wajiongezee aise