Maji ni shida Mtwara Mjini

manwest1

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
214
250
NI jambo la kusitisha sana hasa wakati kama huu ambao dunia nzima ipo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid- 19 mji kama Mtwara tena mjini maeneo mengi hayana maji kwa wiki mbili sasa.

Mkoa ambao umeonja shubiri kwa kuondokewa na mkuu wa wilaya haujabadilika kuhusu tahadhari ya kunawa mikono kila wakati. Binafsi naishi maeneo ya shangani na ni mteja mwaminifu wa MTUWASA lakini leo ni wiki ya pili maji hakuna watu wanahangaika kusaka maji kila kona.

Leo nilichukua hatua kufika MTUWASA wanachojitetea nacho ni kwamba umeme unakatika sana, wiki mbili kweli umeme? Mbona majumbani hatuoni kiasi hicho cha umeme kukatika?

MTUWASA tusaidieni maana ni agizo la wizara kwamba tunawe mikono mara kwa mara kuepuka kuambukizwa Covid-19.
Tafadhali tunaomba maji.
 
SAW_111

JF-Expert Member
Aug 18, 2017
202
250
Umeme unakatika mkuu toka asubuhi unarudi jioni week ya pili hii Ila hiyo siyo sababu labda Kama wana sababu nyingine
 
Mshuza2

JF-Expert Member
Dec 27, 2010
7,951
2,000
Dah poleni. Mamlaka ya maji Mtwara ni tatizo sana kipindi kile tukaona picha maji machafuu kisa chujio.
 
manwest1

JF-Expert Member
Apr 25, 2014
214
250
NI jambo la kusitisha sana hasa wakati kama huu ambao dunia nzima ipo katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Covid- 19 mji kama Mtwara tena mjini maeneo mengi hayana maji kwa wiki mbili sasa.

Mkoa ambao umeonja shubiri kwa kuondokewa na mkuu wa wilaya haujabadilika kuhusu tahadhari ya kunawa mikono kila wakati. Binafsi naishi maeneo ya shangani na ni mteja mwaminifu wa MTUWASA lakini leo ni wiki ya pili maji hakuna watu wanahangaika kusaka maji kila kona.

Leo nilichukua hatua kufika MTUWASA wanachojitetea nacho ni kwamba umeme unakatika sana, wiki mbili kweli umeme? Mbona majumbani hatuoni kiasi hicho cha umeme kukatika?

MTUWASA tusaidieni maana ni agizo la wizara kwamba tunawe mikono mara kwa mara kuepuka kuambukizwa Covid-19.
Tafadhali tunaomba maji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
marco polo jr

JF-Expert Member
Mar 31, 2020
288
1,000
Mtwara shida Sana kwa muda niliokaa hapo eti maji baridi yanatoka ndanda dah na ni ya kununua ao wajiongezee aise
 
Decision

Member
May 6, 2020
36
125
Njoo uishi huku Lindi areas maji kama yote mito kibao

Lindi kucheleeeeeeeeH
A! Hii miji sio ya kuishi kabisa mtwara lindi miji migumu sana kila kitu shida tu kuanzia chakula hadi maradhi ni shida tu maji chumvi tu umeme unakata kata tu as if sio mji mkubwa mtwara panakera sana jua kali hata hakuna raha bora ata dar maji ya baridi bei nafuu tu ata kama kuna joto lakin halifikii jua kali la mtwara linakupiga utosini unajuta kutembea mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Decision

Member
May 6, 2020
36
125
A! Hii miji sio ya kuishi kabisa mtwara lindi miji migumu sana kila kitu shida tu kuanzia chakula hadi maradhi ni shida tu maji chumvi tu umeme unakata kata tu as if sio mji mkubwa mtwara panakera sana jua kali hata hakuna raha bora ata dar maji ya baridi bei nafuu tu ata kama kuna joto lakin halifikii jua kali la mtwara linakupiga utosini unajuta kutembea mchana.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchana hakulaliki ndani unashindwa ata kupumzika.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumisi

JF-Expert Member
Nov 10, 2010
3,926
2,000
Hivi mtwara shida ya maji huwa haiishi, maji yenyewe wanayowapa watu ya chumvi. Hivi haiwezekani kutumia vyanzo vingine vya maji, mfano kutoka kule Ndanda.....vp, hiyo shida ya umeme ni kwa sababu ya wazungu wa Artumas kuondoka maana nakumbuka kuna kipindi waliondoka ikawa majanga.....umeme unakuja mdogo hadi balubu zinatoa mwanga kama wa kibatari...
 
Maji ni shida sana halafu hakuna information yeyote iwapo kuna tatizo au la. Yakitoka pia ni tope mwanzo mwisho. Hayafai hata kunywa. Maji yakunywa tunanunua toka ndanda.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
stella1975

JF-Expert Member
Nov 25, 2018
874
1,000
Mtwara ina Maji yaliyojaaa minyoooo sitamani hata kuja huko, sijawahi kukaaa sehemu yenye Maji Ya minyooo Kama mtwara, ile minyoo mwekundu ukifungulia pomba unaoga unajikuta mwili mzima umejimwagia minyoooo kule kwetu ile minyooo tunaitumia kunasia samaki, unaitunga kwenye sindano Fulani uliyoikunja unaweka na kamba unaingia mtoni kunasa samaki wanaukimbia kwa kula unamnasa kwenye moyo una vuta unamkamata, Mtwara Hakuna Maji ni uchafu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom