Maji machafu kutilirika katikati ya jiji

FORWARD

JF-Expert Member
Feb 17, 2014
723
500
Leo katika pita pita zangu maeneo ya posta mpya na maeneo mengine ya katikati ya jiji la Dar es Salaam nimeshuhudia chemba nyingi za mifereji ya chini kwa chini ya maji taka zikiwa zimeziba ama kuzidiwa huku zikitapika maji machafu yenye kutoa harufu kali ya kuumiza.
Niwaombe wahusika wajitahidi kushughulikia hilo tatizo kwani ni moja ya chanzo cha magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu nk. Pia mda mwengine magari hukanyaga hayo maji na kusababisha wapita njia waendao kwa miguu kuchafuliwa pindi wanapopita karibu na maeneo hayo yanayotiririsha hayo maji taka.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom