maji hamna au ndio nini....?

Hapo mwambie kaoge uone matusi yake...
 
Duh wallah namuonea huruma...
Mwenyewe anatia nguvu apate kuendelea na shughuli yake ya kujiingizia kipato...maisha bhana...
 
Anabeba cement..hapo bado yupo kazini...
 
tatizo mtaani maji shida ukioga tu umejitoa..
 
Halafu akitoka hapo pesa yote anaenda kuhonga mbunye! HURUMA KWELI!
 
Kabanga ishukuru serikali yakoiliyo kuwezesha weweikawaacha maelfu NA maishaunayoyaona muombe mungu NA usikejeli tenaukijifanya hujuikinachoendelea anamajukumu kulikoujuavyo
 
jamaa kapewa masharti ili awe tajiri lazima ajipake majivu na kushinda nayo mwezi mzima bila kuoga wala kubadilisha nguo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…