Majeshi yetu

TPDf...Tanzania peoples defence force liko na tofauti gani na JWTz mkuu?
 
Hakuna jeshi la zimamoto bali ni kikosi cha zimamoto na uokoaji pia uhamiaji sio jeshi bali ni idara ya uhamiaji!
 
Mmh hapana japo kwa tafsiri ya kiswahili ni mlinda usalama wa Mali na RAIA
Kuna mahala nilipitia kukuta kama sikosei
P-people
O-offences
L-liberty
I-investigation
C-criminal
E -enforcement
Kwa haraka haraka sikuangalia viunganishi, sijui kuna ukweli hapo?
 
Kuna mahala nilipitia kukuta kama sikosei
P-people
O-offences
L-liberty
I-investigation
C-criminal
E -enforcement
Kwa haraka haraka sikuangalia viunganishi, sijui kuna ukweli hapo?
Hakuna mantiki yoyote kwenye hiyo ordha. Police ni neno moja linalotaja taaluma mojawapo kama zilivyo taaluma nyingine kama vile mwalimu, daktar n.k
 
Vipi hawa MP...militiary police kaz zao ni zipi hasa??
 
Hakuna mantiki yoyote kwenye hiyo ordha. Police ni neno moja linalotaja taaluma mojawapo kama zilivyo taaluma nyingine kama vile mwalimu, daktar n.k

Noted (from encyclopidea).
Thanks kasigazi kalungi for your clarification.
Kumbe niliingia chaka na kuuziwa chai.
 
Jmn km nitakuwa nimekosea naomveni mnisahihishe,JWTZ,Polisi,magereza na JKT yote hayo in majeshi ya taifa au serikali lkn kwann JKT wakimaliza mafunzo ajira zao huwa km zinasumbua sumbua hv,ukilingabisha na majeshi mengine?
 
Sijui kwasasa ikoje ila zamani ilikuwa ukimaliza form six ama chuo ndio unaenda JKT na ukitoka huko ndio unaenda chuo kikuu ama kwenye ajira yako
 
Nadhani hiki ndio cheo cha chini kabisa cha askari au mwanajeshi View attachment 387158
Hapana MP sio cheo mkuu ni kitengo ndani ya jeshi (MP:Military Police) kazi yao ni kusimamia nidhamu ndani ya jeshi..cheo cha chini ni PRIVATE hivyo MP anaweza kuwa wa cheo chochote kile endapo atakuwa amepata mafunzo ya MP.
 
Kwa hiyo tiss wanaajiri kupitia chipukizi au JKT au mgambo?, nimetoka nje ya mada?, aaaah nilitaka kusema wananchi ndiyo wenye majeshi yote, kwa hiyo imefika wakati tuwe na mkuu mmoja wa majeshi yetu yote, halafu ndiyo kuwe na wakuu wa majeshi mengine, kwa sasa CDF ndiye anaonekana kama joint chief of staff jambo ambalo kwa maoni yangu linashusha heshima ya majeshi mengine
 
Wewe jamaa hujui kitu,,,,,,,majeshi yetu na yaliyopo kwenye katiba, sheria ni jwtz, Jkt, polisi, Magereza, zimamoto,na uhamiaji imeonyeshwa kama idara sio jeshi,,,,,,,, nimekushangaa pia uliposema fire ni idara ndani ya polisi, sio kweli toka 2012 fire iliidhinishwa rasmi kuwa jeshi, chini ya commandment 1 na kuhamishiwa wizara ya mambo ya ndani bz zamani walikua tamisei
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…