Majeshi ya Ecowas kuivamia Gambia

Tutegemee kuanzishwa kwa makundi ya kigaidi kama TOUREG NA BOKOHARAM wengine yaanze kuwashughulikia wenyewe huko huko
 
Kwenye huo uvamizi nyuma yake kuna mataifa ya magharibi kwn ndo adui wao mkubwa..tangu alipotangaza kujitoa nchi za jumuia ya madola,kukataza ushoga na mbaya zaidi alipotangaza kuwa gambia ni jamuhuri ya kiislamu,aliwachukiza saana mabwana wakubwa!kwhyo kuna mengi yanaendelea pale ila alikuwa anatafutiwa sababu na sasa wameipata.
 
UNAFIKI TU VIONGOZI WANGAPI WA AFRIKA WAMEFANYA HAYA HAYA LKN HATUKUSIKIA HATUA KAMA HIZI. Kwa vile ka nchi ka Gambia kako hivyo kalivyo mnakaonea.
Kwa hiyo unashauri nini kifanyike kuhusu Gambia?
 
Kwani waliopiga kura Wamagharibi?
 

Waafrika hakuna wa kujifunza. Mfano, "Mungu" anaweza kujifunza
 

Una haki ya kuhisi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…