Majeshi ya DRC yapambana na waasi

Majeshi ya DRC yapambana na waasi

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,571
Reaction score
53,586

140103144745_drc_ndala_304x171__nocredit.jpg

Wanajeshi wa DRC, katika mapambano

Vikosi vya Jeshi la jamhuri ya kidemokrasia ya kongo vinaudhibiti mji wa Abya ulioko kaskazini mashariki mwa mji wa Beni .

Vikosi hivyo, maarufu FARDC, vinaushikilia mji huo katika shambulio walilolifanya mwishoni mwa wiki, ambalo liliungwa mkono pia kikosi vya umoja wa mataifa ya kulinda usalama MONUSCO.

Ushindi huo wa jeshi la Congo umekuja baada ya mapigano makali na waasi wa Uganda ADF.

Katika shambulio hilo lililodumu zaidi ya saa sita, waasi watano waliuawa na wengine wanne kujeruhiwa.



Majeshi ya DRC yapambana na waasi - BBC Swahili

 
Back
Top Bottom