Mkuu mbona unatutukana wengi hivyo?
Anyway, Happy new year mbulumundu...
Basi kama wewe msomi sana si utafute kazi ya kisomi zaidi, halafu mimi na cheti changu cha form four failure nitakuja kukupiga tanganyika jeki na kukusweka lupango siku ukibaranganya huko kwenye kazi yako ya kisomi...Mkuu sijatukana mtu ila majeshi ya Tanzania si rafiki kwa wasomi.
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.
Kama sikosei huyu ni mwalimu wa sayansi kimu darasa la tatu.wewe sio askari hata kidogo acha fix
Nimecheka sana,kwa taarifa yako kama huelewi....ugunduzi wa mambo mengi tu ulianzia jeshini(hapa naongelea-"technology world wide",aidha fanya utafiti utagundua kwa hapa kwetu tunawataalam waliobobea katika ngazi zote za elimu kuanzia degree ya kwanza na kuendelea waliopo katika majeshi yetu,siyo kweli kazi hizo haziwafai wasomi....kasi ya mabadiliko na kukuwa kwa teknolojia kunahitaji watu waliopevuka kielimu na majeshi yetu yanao wasomi wengi tu walio bobea katika fani mbalimbali,mawazo ya wanaowaza kama unavyowaza wewe kwamba kazi hizi hazihitaji wasomi ni mawazo hasi( its just a myth....),tatizo hatusomi vitabu na kufuatilia mambo....."The military(World wide) has played a major role in what we call modern technology,in other words there is no way the military could achieve this without professionalism....."kwa hiyo kazi hizi ni za wasomi kaka...."think twice"
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.
Mkuu sijatukana mtu ila majeshi ya Tanzania si rafiki kwa wasomi.
Basi kama wewe msomi sana si utafute kazi ya kisomi zaidi, halafu mimi na cheti changu cha form four failure nitakuja kukupiga tanganyika jeki na kukusweka lupango siku ukibaranganya huko kwenye kazi yako ya kisomi...
By the way, hata ukidharu na kuwachukia vipi wanajeshi/polisi/magereza , mwisho wa siku wakipita lazima mwili ukushtuke. Kama unabisha hebu baranganya kidogo uone who is the dady...
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.
Kwa experience yangu ya kufanya kazi katika jeshi moja hapa nchi kwa miaka 10 nimegundua kuwa kazi za majeshi(jw,polisi,magereza) zinawafaa watu wenye elimu ndogo tena form 4 failure maana kuna kila aina ya ukiritimba na urasimu ambao msomi hawezi kuvumilia na kama akivumilia ataishia kujilaumu kwa uamuzi wake.
Thubutu...umesweka maprofesa wangapi mpaka sasa