Majeruhi wa Tindikali

mshana jr hebu weka details mkuu watu wanaweza pata japo kujifunza tu hapa ilikuwaje???!!!

Maana hawa mabazazi wanatumia njia nyingi sana kutimiza hii, kuna style ya kwenye pati au harusi mtu anaiweka tindikali kwenye glasi kama kinywaji anakuja anakuomba mzungumze kidogo ukikubali kwenda naye pembeni umeumia!!!
 
Last edited by a moderator:

Mungu wangu OLESAIDIMU umenifumbua macho! Picha hii ni ya kitambo kidogo mambo ya kulipizana visasi wakati ule tindikali ikiwa kama silaha kuu
 
Last edited by a moderator:
Vyombo vya usalama na sharia vinaposhindwa kutimiza wajibu wao wa kudumisha amani na kuwalinda raia wanao heshimu kanuni. hawa wahalifu dawa yao ni kifungo kikali iwe fundisho kwa wengine wanaofikiria kufanya tendo hili la kiovu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…