barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,917
Majeruhi mmojawapo ktk shambulizi la risasi ndugu Francis Shumirwa.ameaga dunia ktk hospital ya Muhimbili kitengo cha MOI alikokuwa anapatiwa matibabu.
Kufariki kwa Francis kunafanya waliofariki ktk tukio hilo kufikia watatu,wakati Christina Newa anayedhaniwa kuwa chanzo cha tukio na Mama yake aliyetambulika kwa jina la Hellen wakiwa bado wanapatiwa matibabu.
Source😀ar24