chakii
JF-Expert Member
- Sep 15, 2013
- 20,382
- 24,936
Majengo mawili muda huu maeneo ya stone town Zanzibar mkabala na skuli ya kiponda yanateketea kwa moto, hatua za uokozi ni ngumu sana hasa ukizingatia eneo hili ni lenye majengo yaliyojengwa bila kuachia nafasi,...
View attachment 317950
View attachment 317950