Majengo ya Wizara

Majengo ya Wizara

Nsibwene

JF-Expert Member
Joined
Mar 2, 2017
Posts
235
Reaction score
167
Kila rais anapokuja madarakani anakuja na wizara zake anazoona zinamfaa kuendesha nchi.
Je, majengo yanayojengwa huko Mtumba Dodoma itakuwaje? Sasa inabidi liongezwe jengo lingine? BUNGE LIUNDE SHERIA YA SERIKALI IWE NA WIZARA NGAPI.
 
Back
Top Bottom